Recent content by akelu kungisi

  1. A

    JamiiForums Tanzania Silinde akanusha yeye na Wenje kufanya maamuzi magumu muda ukifika

    kwakweli Gwajima hakukosea aliposema mtu akivimbiwa maharage huwa anakurupuka na kuanza kuropokaropoka mishuzi toka kinywani mwake! mleta uzi huu kavimbiwa maharage!
  2. A

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maadili ya Utumishi wa Umma lashindwa kumuhoji Andrew Chenge

    inaitwa nchi ya kitu kidogo! lkn kila kitu kina mwisho! historia ni mama wa kila kitu!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusiana na Waziri Mkuu mh. Pinda

    Tuwe wakweli, pinda havai viatu vya lowasa, jamaa anapwaya sana! imagine pamoja na fitina na kuchafuliwa kote stil lowasa ana nguvu sana,, pinda angekuwa amepotea kabsa iwapo yangemkuta ya lowasa
  4. A

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    wizi mtupu!
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mass resignation ya madaktari

    Mleta uzi anaumwa apelekwe mirembe
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hukumtendea haki Pinda kumtaka ajiuzulu

    Tundu Lisu was right! Sasa amekosea wapi? Lugha ya maudhi iko wapi hapo? Cha ajabu Bi Mkora kama kawaida yake amesapoti ujinga ati Lisu alipotoka kumuuliza swali lile! PM ameshindwa kutatua mgogoro sasa kwa nini asijiudhuru? Haya mambo yatawarudi CCM muda si mrefu! Huo ni ujinga!
  7. A

    JamiiForums Tanzania Madaktari: hatumtaki Pinda ni mwongo tunamtaka Kikwete na msimamo wetu wa kutoa kauli ni Olimboka

    Ndo mana leo kaambiwa aachie ngazi na Tundu Lisu, bahati mbaya akachukia baada kuambiwa kauli hiyo! Amemtisha kwakumjibu "wrong approach"! Mana yake ni kwamba ati Tundu hakupashwa kuuliza hilo swali! Bi Mkora kama kawaida kajifanya anamtetea Pinda, lakini ukweli kausema! Big up Tundu! Mr Pinda...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Madaktari waliomshambulia askari wajisalimishe - Kamanda Kova

    Kova ni msanii tu, kama ulikuwA makini kuangalia alivyokuwa anatoa tamko la serikali hata uso wake ulionyesha kuwa ni MSANII tu!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Askari alokutwa hospital ndie mtuhumiwa no.1

    Ile filamu ya jana ya huyu jamaa anayejiita usalama wa taifa imenikuna sana, jamaa kapewa kichapo ambacho hatasahau maishani! Kwanza ni mmoja kati ya wauaji na waliomfanyia umafia kamanda uli
  10. A

    JamiiForums Tanzania A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    Batajike usifikiri kwakutumia Masaburi!n Huna hoja kaa kimya! acha uzandiki!
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

    Walimuua Kolimba, Malima, n.k sasa walitaka kumuua Ulimboka, inaikitishaaa sanaa! tuichukie serikali hii! Pinda kwa kauli yake aliahidi na vijana wake wametekelza unyama huu!
  12. A

    JamiiForums Tanzania Askari waliomteka Ulimboka ni wazalendo wa kweli

    Hii Tanzania bhana, askari hao watalindwa na serikali hii ya kibabe, ila adhabu yao kutoka kwa MUNGU itakuwa haina mfano wowote ule! Ni kweli walitaka kumuua lakini cha kushangaza MUNGU kaiokoa roho yake, nawaombea hao askari wenye roho za kinyama wawe hai ili washuhudie USHUHUDA huu mkuu ambao...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Maandamano maandamano maandamano kupinga unyanyasaji wa polisi nchi nzima

    Jamani mlioandaa haya maandamano wekeni sawa hii kauli kwa kuwa issue ya Ulimboka ina pubilic interest, ka hivyo itawavuta wengi zaidi kuupinga uharamia huu! hamasisheni watu wote waingie majiani!
  14. A

    JamiiForums Tanzania Serikali Kutoa kauli Kuhusu Mgomo wa Madaktari kesho

    SERIAKALI gani ya wauaji! Pinda jiuzulu kwakauli ayako ya kiuaji!
  15. A

    JamiiForums Tanzania Maandamano maandamano maandamano kupinga unyanyasaji wa polisi nchi nzima

    Kwa hakika taarifa hii isambazeni kwenye mitandao ya cm za mkononi na kwenye vituo vya redio tukapinge uharamia huu! SAA YA UKOMBOZI NISASA!
Back
Top Bottom