Madaktari waliomshambulia askari wajisalimishe - Kamanda Kova

Maelezo ya KOVA yana ulakini mkubwa hata kwa mtu ambaye hajaenda shule ataelewa, ameaanza kujikanyaga mwenyewe hii inaonyesha dhahiri wanahusika na utekaji nyara wa Dr. Ulimboka.

Maelezo ya Dr. Ulimboka aliyoyatoa jana na hiki anachokisema Kova kuwa Leaders ilivamiwa ni uongo hao watu walikwenda direct pahala aliokaa Ulimboka na kunyakua na kuwaamuru wenzie waondoke kuwa wako huru, hii inaonyesha kuwa hoa watu walitumwa kumchukua Ulimboka na walipewa kazi ya kumuua hakuna jingine.
 
Maelezo ya Kova yanaanza kwenda kushoto. Hapo kwenye red, ni tofauti na maelezo aliyotoa Dr Ulimboka mwenyewe ambapo alisema watu walikuja na kumuita pembeni. Sasa hizi taariza za wateja kulala chini Kova katoa wapi?

Labda amechanganya matukio. Anaweza akawa anaongelea suala la Jerry Muro kukamatwa kwa kosa la kuomba rushwa kama alivyoriripoti miaka michache iliyopita. In Africa, everybody is confused...kama huamini ungemsikiliza leo Mh. Pinda alikuwa anasema nini
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Kova ni msanii tu, kama ulikuwA makini kuangalia alivyokuwa anatoa tamko la serikali hata uso wake ulionyesha kuwa ni MSANII tu!
 
Usalama wa rai upo mashakani kama hali hii itazidi kwa jeshi la polisi kupindisha ukweli wa tukio
 
kwani wa kwanza ni nani kujeruhiwa kati ya Ulimboka na huyo Polisisiem?. Kova kuwa na upeo bhana, japokuwa wengi wa polisi ni failures tulitegemea wewe Kova kama kiongozi wao kidogo ungesema vitu vya maana. Kwanza waambie polisi wako waliomteka Ulimboka wajisalimishe halafu ndo wale waliomdunda polisisiem nao wajisalimishe.
 
Fred Katulanda Mkuu kwa nini upelelezi usifanywe na independent unity badala ya Polisi??? Polisi watafanyaje upelelezi kujichunguza, unategemea utapata jibu gani kama sio kuvuruga ushahidi????Mmesahau yale ya wachimba madini wa Mahenge Morogoro na Zombe????

Last edited by a moderator:
Maelezo ya KOVA yana ulakini mkubwa hata kwa mtu ambaye hajaenda shule ataelewa, ameaanza kujikanyaga mwenyewe hii inaonyesha dhahiri wanahusika na utekaji nyara wa Dr. Ulimboka.

Maelezo ya Dr. Ulimboka aliyoyatoa jana na hiki anachokisema Kova kuwa Leaders ilivamiwa ni uongo hao watu walikwenda direct pahala aliokaa Ulimboka na kunyakua na kuwaamuru wenzie waondoke kuwa wako huru, hii inaonyesha kuwa hoa watu walitumwa kumchukua Ulimboka na walipewa kazi ya kumuua hakuna jingine.

Kova hasemi hayo kwa bahati mbaya maana tume ya uchunguzi itakuja na ripoti inayosemas jamaa alivamiwa na majambazi.
 
Nilitegemea aanze kwa kusema waliomfanyia unyama huu kamanda Ulimboka wajisalimishe, yeye kaona askari wake ndio wa maana sana. Unajua hawa watawala wetu watambue kuwa hii nchi sasa imefikia sehemu ambapo wakicheza tu hata haka kautulivu kaliopo katapotea.
 
KOVA yupi? huyu huyu shemeji ake SAID MWEMA na huyu huyu SAID MWEMA shemeji ake na Dr JAKAYA MRISHO KIKWETE.
 
Kova hasemi hayo kwa bahati mbaya maana tume ya uchunguzi itakuja na ripoti inayosemas jamaa alivamiwa na majambazi.

Hilo ndo jibu tunalotegemea kutoka ktk hiyo tume - majambazi wamemshughulikia
Pia hawatashindwa kusema ni mambo yake binafsi - alitembea na mke wa mtu. Hii ni bongo bana. Baada ya hapo si itapita tu kama upepo.
 
Maelezo ya Kova yanaanza kwenda kushoto. Hapo kwenye red, ni tofauti na maelezo aliyotoa Dr Ulimboka mwenyewe ambapo alisema watu walikuja na kumuita pembeni. Sasa hizi taariza za wateja kulala chini Kova katoa wapi?

nimemsikia jana clouds fm anasema walisimama barabarab wale watu wakamdondoshea kwenye lami,theb wakamkamata na kumtia garini,,,,,,sasa KOVA TENAAAAA.....AAARGH
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Kova huyu huyu au mwingine? Hvi ni kova wa intelejensia ya al-shabaab au mwingine? Hiv ni kova huyu wa cctv za posta kwa ajili ya jerry mulo au mwingine?
asante mkuu kwa kutukumbusha.jamaa*ndo huyuhuyu.ungemwangalia jana alivokuwa akiongea ungemuonea huruma!sitakosea sana kusema anajua yote yalotokea,hilo la uchunguzi ni danganya toto tu.'reading from his mind and not his lips'
 
Hapa kinachotafutwa ni uhalali wa kuwakomesha ma-Dr. ambao walikuwa planed pamoja na Ulimboka!! Watakuwa wanamchukua mmojammoja wanamsurubu kwa kisingizio kwamba walimpiga askari(muuaji)!!

Nawaza mbali zaidi!! Kama wanadiriki kutunga uongo (Nchimbi, Kova) kiasi hiki kwa kitu kilicho wazi, basi usalama wa Dr. Ulimboka u-mashakani!!

MADAKTARI KUWENI MAKINI, JIAMINI, SHIKAMANENI, BUNI MBINU ZA KUJIAMI MNAPODAI HAKI ZENU!! MAANA SASA SERIKALI HATUNA!!

SIMAMIENI MNACHOKIAMINI NA MUNGU AWAONGOZE!!
 
Baadhi ya majambazi waliomuua Mtanzania na Mtalii mzungu wiki iliyopita tumeambiwa wamekamatwa. Tunasubiri hawa wauaji kama watatafutwa kwa kasi ilele!
 
Yan kova katika siku ambazo amejichanganya ni jana, yan maelezo yake ni yapeke yake kabisa yan ni tofauti na dokta.

Kova kwa hili wewe ni dhaifu sana.

Kova wambie majambazi wako wajisalimishe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom