...Hii inamaanisha madaktari wote nchini pamoja na wale wa hospitali za private wanaachia fani yao ya utabibu.
Mnangoja nini? anzeni.
we pimbi mwenye cerebral palsy(CP)..of u didnt know, we have ur info frm gud entail, ur photos, been all over the hospitals..now worse thing is, the same docs working at g mnt hospital also work at private sector as paet time...tunakusubiri.
wakati pinda akijiaandaa kufukuza madaktari,taarifa zinaniambia kuwa madaktari wanajiaandaa kujiuzulu kwa pamoja(mass resignation).
Hii inamaanisha madaktari wote nchini pamoja na wale wa hospitali za private wanaachia fani yao ya utabibu.
Ee! Mungu nchi yangu Tanzania imekukosea nini?
Ee! Mungu nchi yangu Tanzania imekukosea nini?
Nawaunga mkono!
Haiwezekani kodi yangu imlipe mbunge wa mtera lusinde a.k.a mtambo wa mitusi Sh. 10,000,000/= kwa mwezi badala ya kuwalipa madaktari, wauguzi na waalimu,
Na wakifanya hivyo tunawapeleka kwenye concentration camp hadi watakapolipia gharama zetu kuwasomesha. Wauaji wakubwa.
Bila ya shaka mawazo haya yanatoka kichwani kwa mgonjwa. Ni kweli kada zote zinahittaji mishahara mizuri, kwahiyo unategemea madaktari wawaombee hao wengine nyongeza ya mishahara?. Hao wameonyesha mfano na sisi wengine tukiona kuwa salary zetu zipo chini tutafute njia ya kudai pia na sio kuleta ujinga ujinga, upuuzi na udhaifu wa ki-ccm.Unaunga mkono huu UHUNI? Kwani nchi hii wafanyakazi ni Madaktari tu? Kwani wengine hawahitaji mishahara mikubwa? Nani ataweza kulipa mishahara mikubwa hiyo ya milioni 3? Ni uhuni huo. Serikali yoyote ile lazima iende kwa awamu. Tunajua kwa sasa night call zimeongezwa na zinalipwa sasa hizo nyingine si wasubiri? Ni datari gani huyo ambaye hajui hata kama nchi hii inaendeshwa na bajeti? Hawajui hata kama amri ya mahakama ni kauli ya mwilsho? Ni udaktari gani hauzingati hata taaluma yao wenyewe? Ni uhuni huo. Unataka uanze kazi leo na kesho uwe milionea? Acheni kusapoti mambo ya yasiyo na maana.
"Na liwalo na liwe" Mtoto wa Mkulima lol
Unaunga mkono huu UHUNI? Kwani nchi hii wafanyakazi ni Madaktari tu? Kwani wengine hawahitaji mishahara mikubwa? Nani ataweza kulipa mishahara mikubwa hiyo ya milioni 3? Ni uhuni huo. Serikali yoyote ile lazima iende kwa awamu. Tunajua kwa sasa night call zimeongezwa na zinalipwa sasa hizo nyingine si wasubiri? Ni datari gani huyo ambaye hajui hata kama nchi hii inaendeshwa na bajeti? Hawajui hata kama amri ya mahakama ni kauli ya mwilsho? Ni udaktari gani hauzingati hata taaluma yao wenyewe? Ni uhuni huo. Unataka uanze kazi leo na kesho uwe milionea? Acheni kusapoti mambo ya yasiyo na maana.
Waki resign wote nitawaona wapo serious kuliko kutugomea kila siku.
Wacha wa resign ili tutafute plan B