akelu kungisi
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 115
- 19
Kauli yake ile sasa itamgharimu! Pinda chuja kauli kabla hujatoa, sasa itakugharimu, ukweli ni kuwa tunakuchukia sana mana kwa kauli ile Watanzania wanaamini kuna mkono wako! inaumiza sana!
Kwa hili lililotokea la Dr. Ulimboka ambalo limehusishwa sana na kauli
yako ya LIWALO NA LIWE ni busara kwako ukiamua kujiuzulu.
Bila shaka umenielewa kwani nina wasiwasi wa kuhusishwa na mengine
makubwa zaidi ambayo pengine utakuwa huhusiki nayo.
Jiuzulu Mheshimiwa ili kulinda Imani ya wapiga kura wako wa Rukwa.
Ukishapeleka mgojwa wako Kwa daktari halafu akakuambia kagoma halafu ukarudi nyumbani unamfagilia daktari kwa sababu yeyote ile huo utakuwa uendawazimu! Pinda kesho toa tamko ambalo serikali imechelea siku nyingi watz tupo nyuma yako