Recent content by Akami

  1. Akami

    JamiiForums Tanzania NGOMA NZITO!!! ........usiniulize

    Kwani jioni mbali?Tutawajua basi nyie CUF!CCM,CCM,nakereka kweli kuiita Yanga CCM,mbona basi huyo Rage wenu hamumfukuzi,si ni CCM,tena yuko tayari kufanya lolote kwa ajili ya CCM,si mnakumbuka kule Igunga alivyotinga na mguu wa kuku kwenye kampeni za CCM!Mbona hata siku moja sijawahi kumuona...
  2. Akami

    JamiiForums Tanzania Wasira aibu ya hili ipo wapi?

    Duhh,ubongo wa ny,,,,, ni mdogo!
  3. Akami

    JamiiForums Tanzania Chadema waonyesha picha za video alivyouawa Mwangosi;Picha zinaonyesha jinsi RPC Iringa alivyoshuhud

    Tuwekeeni hiyo video,Ulimwengu wote uone
  4. Akami

    JamiiForums Tanzania Mkono akubali kufukuzwa CCM!

    Hata hao akina Mkono na Fulikunjombe nao ni wanafiki tu,yamesemwa mengi juu yao, hata Nape amekiri kuwa hiyo hoja iliibuka katika NEC, wanataka ushaidi gani tena, kama wan nia ya dhati kweli na kupambana na ufisadi, jitoeeni kwenye hicho chama cha mafisadi sio eti mnasubiri wawafukuze! Ajabu...
  5. Akami

    JamiiForums Tanzania Naenda kwa mama..............

    Safi sana,tuone sasa,watoto nao waende kwa mama yao!
  6. Akami

    JamiiForums Tanzania Kwa wakubwa tu: Kasheshe ya FUNZA kanda ya Magharibi

    Maisha bora kwa kila Mtanzania!Huu ugonjwa chanzo chake ni UFUKARA!
  7. Akami

    JamiiForums Tanzania Nimeipenda hii staili ya uongozi shirikishi

    Hongera kwa kuonyesha mfano,mmmh yule jamaa niliwahi kumuiona anacheza kiduku alipoenda jimboni/nyumbani kwao Bwagamoyo!
  8. Akami

    JamiiForums Tanzania Mitoto hii bwana.

    Hao watakuwa wanafunzi wa IFM
  9. Akami

    JamiiForums Tanzania Lowassa aikana Richmond, asema alijiuzulu kwa heshima ya serikali na chama chake!

    Nomba wana JF mnielewe, siungi mkono ufisadi na ninamchukia sana fisadi,na kwa kweli kabisa nilikuwa namchukia sana Lowasa kwa sababu ya ufisadi, lakini Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, mimi msamha kwake nimetoa. Kuna swali ambalo naomba kila mmoja ajiulize,kwa nini Lowasa...
  10. Akami

    JamiiForums Tanzania Maandamano !!! Maandamano!!!!! Jumamosi 26/11/2011: Yana Kibali Cha Polisi!

    Huu ndo muda wa kuonyesha mabango yetu,ujumbe binafsi haukatazwi,KARIBUNI WOTE! Duhh Alshabab wanashambulia maandamano ya Jukwaa la Katiba na ya Chadema tu?Sababu ya kusema eti CCM nao waliomba kufanya maandamano katika tarehe hiyo hiyo 26/11,sioni kama ni sababu ya msingi kuzuia...
  11. Akami

    JamiiForums Tanzania Da!! Baba zetu bwana utachoka!!

    Umepatia,Olesendeka wa mwisho
  12. Akami

    JamiiForums Tanzania Mbunge Blandes kalidanganya bunge

    Blandes atuombe radhi,binafsi sikuwahi kusikia wala kuona akifanya mikutano na wananchi na kutueleza kuhusu katiba,aache kujipendekeza.Kama vipi tutakutana 2015 atakapokuja tena kutuomba kura!Atueleze ni lini na wapi tulimtuma,aache kutudhalirisha,Wanyambo ni watu makini sana hatuwezi kumtuma...
  13. Akami

    JamiiForums Tanzania CCM/CUF washambulia Wanaharakati- CDM wapinga kupitisha Mswada wa Mapitio ya Katiba

    Hilo ndo tatizo la viongozi wa CCM. Sasa tuseme anataka kutwambia raisi aliyepata kura zisizozidi milion 6 kati ya Watanzania milioni 42 ndiye amechaguliwa na wananchi? Kwanza hata neno Wanaharakati sijui kama anajua maana yake, Rage nenda darasani bwana! Inawezekana leo kama angekuwa anarudi...
  14. Akami

    JamiiForums Tanzania Modem na simu zinauzwa kwa bei nzuri,karibuni

    Tupe specification ya hiyo vodafone 858
  15. Akami

    JamiiForums Tanzania Maandamano nchi nzima yatangazwa baada ya bunge kukubali muswada wa sheria wa marekebisho ya katiba

    Mrema alisema jana kwamba hata mkitoa maoni kwenye hiyo kamati si lazima yote yatekelezwe,kwani ripoti ya Jaji Nyalali kuna mambo mambo yalipokelewa na mengine yakaachwa vivyo hivyo kwenye hiyo kamati itakayoundwa.Wenye akili muelewe,kamati ya kukusanya maoni ni longolongo tu katiba yao tayari...
Back
Top Bottom