DavidHard
JF-Expert Member
- Nov 4, 2011
- 435
- 273
Kila baba mwenye mtoto umwambia mtoto wao eti soma kwa nguvu zote achana na michezo ya ajabu tena kwa ukali.kwani mimi enzi zangu nilikuwa nashika namba moja.je baba yake nani alikuwa anakuwa wa mwisho au enzi zao hapakuwa na wamwisho wote walikuwa wanashika namba moja.