Kwa wakubwa tu: Kasheshe ya FUNZA kanda ya Magharibi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wakubwa tu: Kasheshe ya FUNZA kanda ya Magharibi

Discussion in 'Jamii Photos' started by m_kishuri, Jan 24, 2012.

 1. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Binamu yangu karudi huku majuu kama wiki mbili zilizopita kutoka huko nyumbani, katika yote aliyoleta ni hii kasheshe ya Funza za miguu. Ingawa miguu yake haikuharibika kama inavyoonekana kwenye picha, lakini imemchukua muda kurudi kazini kutoka na kuvimba vidole vya miguu. Kwa kweli nilikuwa nimeishasahau hayo maradhi. Natoa pole sana kwa wananchi ambao bado wanasumbuliwa na hili tatizo.
  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Tanzania bado sana....duh!
   
 3. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  nisha chefuka tayari...
  Miss kenya 2005 alianza utawala wake kwa kufanya campagne ya watu kuvaa viatu. Kuna correlation kubwa sana kati ya kuvaa viatu (hata kandambili) na kupata funza nyingi. Siku ya kuanza campagne alionekana TV akimuosha mama mmoja miguu kabla ya daktari kumtoa funza zaidi ya 50! nilisisimka na mwili kutoka goosbumps kwa kusumuliwa tu!
  Huyo rafiki yako aliekuja kutuona atakua alitembea peku to reconnect with the mother land and feel its energy.
  Si unajua tena usanii wa watu wakitoka majuu? hehehehehe
   
 4. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,454
  Likes Received: 4,736
  Trophy Points: 280
  Kuna baadhi ya maeneo hapa Tanzania ukienda na viatu unapewa uongozi fasta
   
 5. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Huwezi kujua kilichomfanya ama atembee peku au na kandambili/sandals.

  Kuna watu ni rahisi kushika maradhi, wengine miili yao ina himili zaidi

  Hujawasikia watu wanaokuja Bongo wiki mbili tu wakaumwa Malaria na wengine wakakaa kwenye mzingira yale yale miezi mitatu wasiumwe?
   
 6. H

  Hussein Njovu Senior Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 25, 2006
  Messages: 186
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Inasemekana kwamba funza huendana na uchafu. Usipouweka mwili wako katika hali ya usafi ni rahisi kuvamiwa na funza. Uvivu wa kutoa funza nao huchangia funza hao kuzaliana mwilini mwako. Ukiwa na funza mmoja tu lazima utagundua kwa sababu atasababisha mwasho sehemu aliyojichimbia. Ukidharau na kumwacha basi nae anajua amepata msamaria mwema hivyo ataita na ndugu zake na kufanya makazi ya kudumu miguuni mwako. Wasamaria wema zaidi huwakaribisha vunza hata kwenye mikono yao! Viatu vinasaidia sana kuzuia funza kama ilivyoelezwa hapo juu, lakini muhimu zaidi ni usafi wa mwili, maana huwezi kuvaa viatu kama miguu yako ni michafu. Vile vile funza ni ugonjwa wenye tiba tena tiba rahisi, lakini baadhi yetu labda kwa sababu ya kubanwa sana na majukumu ya maisha, au ujinga au umasikini au vyote, tunapuuza kupata matibabu.
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kwa kuangalia huo mguu, sidhani kama ni damage ya wiki mbili.... na kwa kuangalia ngozi ya mguu (ambayo haijaathirika) pia sioni kama ni tatizo la leo, au mtu katoka majuu
  tujaribu kutafuta vitabu ambavyo tunaweza hata kujisomea kujua how to manage mild cases za magonjwa kwa mfano - where there is no doctor, itatusaidia
  tujaribu pia ku-validate ukweli hasa kwenye picha, my guts feeling ni kwamba hiyo ni chronic case na huwezi moja kwa moja ukasema ni funza (wataalam watatuambia - lakini could be funza, fungus, minyoo aina nyingine, kansa, madonda ya vimelea vingine nk)

  PICHA INASIKITISHA NA KWELI TUNA SAFARI KUFIKA NCHI YA MAZIWA NA ASALI
   
 8. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  aisee.....ubaya wa funza bana zikikushambulia utotoni migu yako haitakuwa straight.....itakuwa imepinda pinda dizaini.....
   
 9. MANI

  MANI Platinum Member

  #9
  Jan 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Wapi mkuu ni pm nataka kuwa kiongozi !
   
 10. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Vidonda vinavyotokana na funza ni njia rahisi ya kupata tetanus ambao ni ugonjwwa hatari mno.Miaka inavyokwenda mbele watakufa wanaume kwa tetanus kuliko wanawake kwani wanawake hasa wa umri wa kuzaa hupata kinga katika mahudhurio ya kliniki.
  wanaume kaeni chonjo na vidonda vya funza vitibiwe kwa uhakika.
  Nikipata muda nitawaletea kinachosababisha.
   
 11. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hii iko kwenye category gani?
  Uchafu ama ugonjwa.
   
 12. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Mkuu Amavubi.

  Mkuu wangu nitajie hayo maeneo niwahi haraka unajua sijawahi shika uongozi hata ubalaozi wa nyumba kumi sihaba.


   
 13. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Miaka 50 ya uhuru......tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele! hapo kwenye tunasonga mbele ndo shida yangu kuu ilipo. inawezekana wanamaanisha kitu kingine, watu wanavamia tu hiyo slogan. Si mnaona walisema lazima 'tuvue gamba' kumbe maana yao ilikuwa tofauti kabisa na maana halisi ya kuvua gamba. Haka kanchi acha tu............kana wenyewe haka!
   
 14. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nenda huko Kasulu na Kibondo uone miguu ya baadhi ya waathirika wa Funza.
   
 15. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #15
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Kudadadeki!! Aiseee!! Huu ugonjwa unasababishwa na nini?
   
 16. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  ufukara na uchafu.
   
 17. Akami

  Akami Member

  #17
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maisha bora kwa kila Mtanzania!Huu ugonjwa chanzo chake ni UFUKARA!
   
 18. ANKOJEI

  ANKOJEI JF-Expert Member

  #18
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 701
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  ata kanda ya kusini wapo, tembea tembea kidogo, inatisha!!!
   
 19. p

  pat john JF-Expert Member

  #19
  Jan 26, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasemekana watu wa namna hiyo ni hodari kwa kucheza mpira wa miguuu.. ahhhhhahhhahaaaaaaaa
   
 20. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #20
  Jan 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Kinonko Kigoma....
   
Loading...