Mitoto hii bwana.

Mitoto hii bwana.

Hahahahahahaaaaaa ticha angewaacha wachapane tu labda wangefunguka akili zao.
 
Ndo maana tunashauriwa kuchagua mke mwenye akili timamu,usije kuchanganyiwa madesa.
 
Ndio unakuta wote wanao,
Mungu epushia mbali maana itakuwa ni janga la kifamilia.
 
Hapo mtoto mmoja ni nafuu,mwingine ni afadhali....yaani wote bila bila duh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom