NGOMA NZITO!!! ........usiniulize | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NGOMA NZITO!!! ........usiniulize

Discussion in 'Jamii Photos' started by Emanuel Makofia, Oct 2, 2012.

 1. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Yangu macho na masikio kwa kuwa ngoma ya watoto haikeshi!:embarassed2::embarassed2:


  SY.jpg

  3:2
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,473
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  MBUYU utageuka kuwa MCHICHA
   
 3. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 4. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,348
  Likes Received: 2,984
  Trophy Points: 280
  Makalio ya sufuria hayaogopi moto hope hao ccm watapigwa tu.
   
 5. Akami

  Akami Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani jioni mbali?Tutawajua basi nyie CUF!CCM,CCM,nakereka kweli kuiita Yanga CCM,mbona basi huyo Rage wenu hamumfukuzi,si ni CCM,tena yuko tayari kufanya lolote kwa ajili ya CCM,si mnakumbuka kule Igunga alivyotinga na mguu wa kuku kwenye kampeni za CCM!Mbona hata siku moja sijawahi kumuona Uwanja wa TAIFA akiwa na hiyo silaha,it means anaipenda sana CCM (Yanga) kuliko Simba!
   
 6. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  mbona hiyo chata hapo kwenye bango la tawi la ccm C ni kama hii?

  S_and_C_blue_229x224.gif
   
 7. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Msiulize majibu mkitarajia kujibiwa, leo Mnyama anakula mtu. Hao yanga kujiita CCM ni wenyewe wanajitakia wala hakuna anayewaita. Ndiyo maana Mbowe alijitoa kwenye "Yanga Familly" ingawa kiukweli mashabiki wengi wa Yanga nao pia ni CCM na mashabiki wengi wa Simba kwa asili walikuwa na wako kinyume na CCM. Uliza tangu enzi za kina Jimmy Ngonya na Emanuel Makaidi!
   
 8. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Draw ngoma 1-1.
   
Loading...