Recent content by AK48

  1. AK48

    JamiiForums Tanzania Vijana tuacheni kubeti, kindege (aviator) kimenimaliza milioni 7 yote ya mtaji

    Hahahahah kindege kikapagawa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  2. AK48

    JamiiForums Tanzania Msaada wa wazo la Biashara

    ohooo
  3. AK48

    JamiiForums Tanzania Msaada wa wazo la Biashara

    Asante mkuu
  4. AK48

    JamiiForums Tanzania Msaada wa wazo la Biashara

    Wakuu habari, Nimelima viazi na kufanikiwa kupata milioni 10. Nafikiria kuanzisha biashara hivyo naomba ushauri wenu, upande wa kilimo soko halitabiriki ndio maana nawaza kufanya jambo lingine. Naishi Mafinga mjini.
  5. AK48

    JamiiForums Tanzania Nimeondolewa kwenye Tarrif 0 [Tanesco]

    Yap ilinitokea,mwezi uliofuata nikarudishwa
  6. AK48

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    mhhhhh
  7. AK48

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu gari aina ya Toyota Kluger V

    Salamu Wakuu ... Naomba kujua mwenye uzoefu wa Toyota Kluger -Utumiaji mafuta km/lita -Uimara wake -Comfortability -Upatikanaji Spare parts -Na matatizo yake kwa ujumla Natanguliza shukrani.. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. AK48

    JamiiForums Tanzania Kwa msiomjua RC wa Mbeya, Chalamila ndio huyu (picha)

    Bro usifananishe Charlie na vitu vya kijinga[emoji2]
  9. AK48

    JamiiForums Tanzania 2019 Africa Cup of Nations Special Thread

    Yap jaribu Burma tv
  10. AK48

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

    Tupe experience ya ulaji mafuta mkuu km per litre
  11. AK48

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ununuaji wa magari

    Wataalamu wa mambo mwenye experience na HONDA CR V kabla sijanunua anipe dondoo..
  12. AK48

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Bado zipo? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. AK48

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Wapi mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. AK48

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mzoefu wa Toyota probox please. . -ulaji wa mafuta -uimara Spare zake nk Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom