Wauza smartphone tukutane hapa

zile zote unazoziona na kijistica kwa pembeni/ubavuni(SIO ZILE IMEI NYUMA) ni refub(hizi stika zinawekwa simu ikishafanyiwa refub na kwa wenzetu huko mbele muuzaji ukiondoa ni kesi),
kwa ufupi kwa nje ni ngumu kama wakiamua kukiondoa,

vile vile ukiona simu yyt inauzwa haipo sealed hapa haina kujiulizaa, either ni carrier unlocked, mtumba au refub,
mara nying pia hazina info kwa nyuma mfn model, imei n.k,

njia ya uhakika japo hii sasa ni ngumu mwenye duka kukuruhusu ni ku downloada app inaitwa genuine galaxy halaf ukisha i lunch pale juu kushoto uta tap icon yenye vidoti vitatu halaf kuna sehem wamekuandikia 'refublishment check' tap kama haijafanyiwa refub watakuandikia 'congraturation your phone is originala' kama ni refub watakuandikia 'it looks like your phone is refub' ikikuandikia hivyo haina cha it looks wala nn ujue ngoma dirrect ni refub, na isipokuletea chochote kati ya hivyo ujue ni famba kbsaa,

kwa ufupi kama sio mjanja sio rahisi kujua km ulivyoambiwa hapo juu, Ni ngumu hasa km ni factory refub
wachina walivyo washenzi wanauza hadi mabox complete ya simu na vifaa vyake kama charge,earphones ....hadi sticker za garantee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zile zote unazoziona na kijistica kwa pembeni/ubavuni(SIO ZILE IMEI NYUMA) ni refub(hizi stika zinawekwa simu ikishafanyiwa refub na kwa wenzetu huko mbele muuzaji ukiondoa ni kesi),
kwa ufupi kwa nje ni ngumu kama wakiamua kukiondoa,

vile vile ukiona simu yyt inauzwa haipo sealed hapa haina kujiulizaa, either ni carrier unlocked, mtumba au refub,
mara nying pia hazina info kwa nyuma mfn model, imei n.k,

njia ya uhakika japo hii sasa ni ngumu mwenye duka kukuruhusu ni ku downloada app inaitwa genuine galaxy halaf ukisha i lunch pale juu kushoto uta tap icon yenye vidoti vitatu halaf kuna sehem wamekuandikia 'refublishment check' tap kama haijafanyiwa refub watakuandikia 'congraturation your phone is originala' kama ni refub watakuandikia 'it looks like your phone is refub' ikikuandikia hivyo haina cha it looks wala nn ujue ngoma dirrect ni refub, na isipokuletea chochote kati ya hivyo ujue ni famba kbsaa,

kwa ufupi kama sio mjanja sio rahisi kujua km ulivyoambiwa hapo juu, Ni ngumu hasa km ni factory refub
Mkuu ahsante sana.....changamoto iliyoko ni kumpata huyo muuza simu nifanye hivi mana nataka kubadili simu, shida ilikua ntajiuaje kua ni refurbished
20190407_003410_rmscr.jpeg
 
Nifafanulie mana mi nilinunua tu....sikuchunguza hiz ishu
nimeona hapo kwenye model SM-G928T, siku nyingne ukiona samsung yyt inayoishia na herufi tofauti na F/DS mf SM-G928F/DS au haina heruf nyuma ni namba tu kimbia, mf SM-G9280, ujue unauziwa unlocked na mtumba iliyotumika kwa angalau 2 yrs, na shida yake kubwa inakua kwenye network, unaweza usigundue kama upo sehem yenye network nzur , ila ukienda sehem yenye shda kdg tu ya network yako itasumbua ila nyingne zitapga kazi,
kwa ufup ni zile simu ambazo kwa huku bongo tunasema zimeflashiwa, au kwa lungha nyingne ni kama zile simu zinazouzwa kwa promotions na tigo ambapo lain lazima iwe ya tigo/inasoma tigo tu, sasa ili utumie lain za mitandao yote unaenda kwa wajanja wanai unlock japo sisi kimakosa tunasema ku flash, anyway
kimbembe cha ku flash simu najua weng tunakifaham,

Hivyo epuka simu zinazmishia na heruf kama T, V, AT&T n.k hizo herufi ni majina ya zile kampuni za simu zilizoingia ubia na samsung: T- for T-mobile, V- for Verizon, AT&T- for american telephone and telegram.

pili epuka samsung yoyote ambayo imeandikwa jina kwa nyuma chini mf galaxy s6+ tofaut na neno samsung kwa nyuma juu, inatakiwa juu kue na neno samsung, chini kue na info za simu kwa maandisi madogo mf model(na hapa ndio unatakiwa ujue ile model kama ni hayo ma T, au F/DS) imei n.k au kama ni lain mbili watakuandikia neno DUOS juu ya hayo maandish madogo, kwaio ukiona tofaut na hvyo kimbia, na pia kama hakujaandikwa chochote kbsa pia anza kutumia akili yako vzr.

Mara nying refubs ndio zinakua na haya mapicha picha.
 
nimeona hapo kwenye model SM-G928T, siku nyingne ukiona samsung yyt inayoishia na herufi tofauti na F/DS mf SM-G928F/DS au haina heruf nyuma ni namba tu kimbia, mf SM-G9280, ujue unauziwa unlocked na mtumba iliyotumika kwa angalau 2 yrs, na shida yake kubwa inakua kwenye network, unaweza usigundue kama upo sehem yenye network nzur , ila ukienda sehem yenye shda kdg tu ya network yako itasumbua ila nyingne zitapga kazi,
kwa ufup ni zile simu ambazo kwa huku bongo tunasema zimeflashiwa, au kwa lungha nyingne ni kama zile simu zinazouzwa kwa promotions na tigo ambapo lain lazima iwe ya tigo/inasoma tigo tu, sasa ili utumie lain za mitandao yote unaenda kwa wajanja wanaiflash,

Kwa maelezo ya awali nimekupata...hayo ya pili nafikir unamanisha hivyi
20190407_092505_rmscr-1.jpeg
20190407_092200_rmscr-1.jpeg
 
Yangu model SM-G920T halafu Inasoma 4g muda wote laini yoyote hata nikiwa sehemu ambayo hakuna 4g
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom