Saa 11 na dakika zake ndipo unatafutwa 'uzi mweupe' ili muda wa daku umekwisha.
Hizi daku za sita usiku hizi unaweza kuziona ngazi kama zinakurudisha nyuma😩:tiredCat:
Mgombea wa kupata zaidi hata ya 60% #NiYeye
Akili yake inavyomtuma haimkoseshi kura hata kidogo.
Kuonewa huruma kunaweza kuongeza kura zake, we acha hiyana. Ndio siasa zilivyo.
Yaani hizi sera zote anazonadi hadi kufikia kunakiliwa na chama tawala zote hujaziona!? Uadui ukizidi mwezi utausema...
Ni kazi ya kamusi hasa. Hiyo kwamba utayatumia ama la ni juu ya watumiaji.
Miongoni mwa sifa muhimu ya lugha ni kukua, basi kila yanapokuja maneno mapya na kukubaliwa kimatumizi ktk jamii huwekwa rasmi pia katika KAMUSI.
Kamusi za Lugha ya Kiingereza zina baadhi ya maneno mengine yameandikwa...
Naomba mnisaidie kupata wimbo ule wa UKIMWI alioimba Kapteni Komba.
Kwenye ile nyimbo kuna akina dada wanaitikia. Na sehemu nyingine Komba anaimba makaburini.
Umefikiria vibaya. Nimetafuta kwa "udi na uvumba" lakini sikuuchoma. Nimeubwia... Lakini wapi...! Kariakoo yote peupeee... "online markets" zetu hwana hii kitu, wao Samsung tu
Umezijuaje kama zinaitwa za Mashetani? Au umeshazipa jina tayari mkuu?
Kwa ufupi ngoma na vinanvyohusiana navyo ni matawi ya shetani. Sasa kuanzia hapo kama unataka kujua umuhimu wake itakuwa unahitaji licha ya UHASI wake (negativity).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.