'Juice' kwa Kiswahili inaitwaje

wana lugha najua mnaweza kunipa ufafanuzi juu ya hili, nina mtoto ambaye anasoma class 4,na anapenda kujua maneno mengi ya kiingereza na kutafsiri kwa kiswahili,sasa kaniuliza JUICE kwa lugha yetu inaitwaje nikamjibu niJUISI hakuridhika,na mm ndo dad

Jibu sahihi ni sharubati no more
 
Back
Top Bottom