Natafuta Tecno PhonePad 3 KWA UDI NA UVUMBA

Natafuta Tecno PhonePad 3 KWA UDI NA UVUMBA

Ahmad Nasibu

Member
Joined
Oct 16, 2013
Posts
87
Reaction score
67
Ndugu zanguni naomba msaada kwa anayefahamu duka mabalo bado linazo Tecno PhonePad 3 au Muuzaji mwenye nazo hadi sasa. Nahitaji mpya kama ikiwezekana kwa matuizi ya ofisini lakini kama kuna OFA ya iliyotumika basi msaada pia.
nimezunguka maduka ya simu pale K/koo lakini sikufanikiwa jamani... Na mbadala wa ile Pad 7 si muafaka hata kidogo kwani ina 3G na uwezo nusu wa kila ninachokitaka ukilinganisha na hii Tecno PhonePad 3..
Ahsanteni....
PhonePad-3.jpg
 
Wadau mbona kimya? Hata wauzaji maarufu jamani mpo ziii? Dah! Nina shida na hii kitu bado...
 
Tuseme unaipendea nini hasa UNAWEZA ukapewa nyingine YENYE sifa km hizo
Hebu nidodose hiyo unayoifahamu wewe mkuu! Kwani hii nimeifanyia mlinganisho na nyinginezo kadhaa hadi kupata muafaka huu...
 
Mi nilikua nawaza tu kama kweli Umetumia "Udi na Uvumba" kuitafuta hiyo simu,
Yaani ulichoma kabisa Udi (Uvumba siujui ukoje) ili uipate na hujaipata bado,
 
Mi nilikua nawaza tu kama kweli Umetumia "Udi na Uvumba" kuitafuta hiyo simu,
Yaani ulichoma kabisa Udi (Uvumba siujui ukoje) ili uipate na hujaipata bado,
Umefikiria vibaya. Nimetafuta kwa "udi na uvumba" lakini sikuuchoma. Nimeubwia... Lakini wapi...! Kariakoo yote peupeee... "online markets" zetu hwana hii kitu, wao Samsung tu
 
Umefikiria vibaya. Nimetafuta kwa "udi na uvumba" lakini sikuuchoma. Nimeubwia... Lakini wapi...! Kariakoo yote peupeee... "online markets" zetu hwana hii kitu, wao Samsung tu
Anhaa,
haya Mkuu,
Mduka ya Posta pia umefika?
Ila Jiandae kwa bei zaid endapo ukiikuta
 
Umefikiria vibaya. Nimetafuta kwa "udi na uvumba" lakini sikuuchoma. Nimeubwia... Lakini wapi...! Kariakoo yote peupeee... "online markets" zetu hwana hii kitu, wao Samsung tu
Tatzo lako we pale kariakoo umeishia kwa hao udi na uvumba tu ebu jaribu na yale maduka mengine hata mlimani city yawezekana ukapata
 
Anhaa,
haya Mkuu,
Mduka ya Posta pia umefika?
Ila Jiandae kwa bei zaid endapo ukiikuta
Tatzo lako we pale kariakoo umeishia kwa hao udi na uvumba tu ebu jaribu na yale maduka mengine hata mlimani city yawezekana ukapata
NITAJARIBU ZALI LANGU. Lakini hii inamaanisha wana ukumbi pia hawana isipokuwa msaada wa mawazo.. Nashukuru wakuu
 
Yaan simu za Tecno zinakua nzuri zikiwa mpya baada ya miezi 3 utaikimbia!!
 
Tatzo lako we pale kariakoo umeishia kwa hao udi na uvumba tu ebu jaribu na yale maduka mengine hata mlimani city yawezekana ukapata
Kumbe Udi na Uvumba ni wauza simu?
Mi nlifikir ni njia alizotumia kuitafuta hii simu,
Ahsante Mkuu kwa kunielewesha
 
wakuu na mimi natafuta hii kitu, inapatikana wapi?
 
Mkuu njoo nikuuzie mashine ambayo imekufa kioo tu. Hii simu ni ngumu saana aiseee au kama kuna mtu ana kioo aniuzie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom