Recent content by Agi01

  1. A

    JamiiForums Tanzania Fundi wa kiume wa kushona nguo za kike na kiume anahitajika

    Nahitaji fundi wa kushona nguo za kike na kiume, mwenye uzoefu na anayeweza kumshauri mteja ashone vipi ili apendeze. Ofisi ipo Sinza, awe ni mkazi wa Dar es salaam. 0629834522
  2. A

    JamiiForums Tanzania Fundi wa kushona nguo anahitajika

    Nahitaji fundi wa kushona nguo zote( kike na kiume) Awe anajua kudesign 0629834522 Dar es salaam
  3. A

    JamiiForums Tanzania iphone na nyumba ya kupanga

    Maisha ni mipango,kila mtu anafanya anachoona sahihi kwa wakati anaofanya.mwenzako anamiliki simu ya 1M+ wakati ww hata simu ya laki mbili huna.kwahiyo na ww tukushangae?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Scania kutoka njombe kwenda Dar

    Nimeshapata
  5. A

    JamiiForums Tanzania Scania kutoka njombe kwenda Dar

    Jamani nahitaji mwenye scania yenye uwezo kubeba viazi vipeto 215 kutoka njombe kwenda dar leo jumatano.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta dada wa kazi za ndani

    Nahitaji dada wa kazi za ndani. Kula, kulala na matibabu ya kawaida gharama kwangu. Mshahara Tsh 50000 kwa mwezi.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi FlyOver Ubungo - Machi 20, 2017: Je, Hotuba ya Rais Magufuli itamtumbua RC Makonda?

    We huna akili, halafu sio lazima utoe comment
  8. A

    JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Aliexpress wanakupa track number, ila inategemea. Mara nyingi zile za free shipping unakuwa na track number lkn huwezi kutrack mzigo wako Umefika wapi. Zaidi ya kukwambia tu mzigo wako tumeusafirisha na meli fulani na utafika siku fulani. Tofauti na ebay, track number yao unaweza kutrack anytime.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Aliexpress vitu vyao vinavutia, lkn wanachelewa sna kudeliver mzigo. Kwa mfano mm nimeagiza smart watch tangu January hadi leo bado sijapokea mzigo. Nikiwasiliana nao wanasema nisubirie hadi 3april. Ila ebay wako fasta sna, ndani ya wk 3 hadi 4 unakuwa ushapokea parcel yako
  10. A

    JamiiForums Tanzania Payoneer ni mbadala halisi wa PayPal!

    Hii $29 kwa any amount.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Payoneer ni mbadala halisi wa PayPal!

    Na kama ukinunua kitu online kupitia wao, bahati kitu hakijakufikia, wanaweza kuhakikisha pesa yako inarudi?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Payoneer ni mbadala halisi wa PayPal!

    Na kama ukinunua kitu online kupitia wao, bahati kitu hakijakufikia, wanaweza kuhakikisha pesa yako inarudi?
  13. A

    JamiiForums Tanzania Payoneer ni mbadala halisi wa PayPal!

    Wanachaji kiasi gani ukiwa unapokea pesa au kutoa pesa kutoka payoneer
  14. A

    JamiiForums Tanzania Malalamiko juu ya Usajili wa Makampuni BRELA

    Hilo naungana na wewe ndugu, hata mimi hilo limenikuta na wakakataa kunihudumia. Na sielewi kitambulisho ni cha nini wakati unawapa tu documents wazihakiki kisha wakufanyie assessment ukalipe benk. Hasa yule dada mweupe mnene ndo jipu kabisa, hata Lugha yake kwa wateja sio nzuri
  15. A

    JamiiForums Tanzania Zari the boss lady akiwa katika vazi la ufukweni!!!

    Pole ww hujielewi
Back
Top Bottom