Natafuta dada wa kazi za ndani

Agi01

Member
Feb 24, 2016
34
24
Nahitaji dada wa kazi za ndani. Kula, kulala na matibabu ya kawaida gharama kwangu. Mshahara Tsh 50000 kwa mwezi.
 
Yaani mtu anaelipwa million 1 kwa mwezi namuonea huruma. Sasa huyu anaetaka kulipwa 50,000, jamani maisha hayana huruma.

Ndukiiiii
 
Nahitaji dada wa kazi za ndani. Kula, kulala na matibabu ya kawaida gharama kwangu. Mshahara Tsh 50000 kwa mwezi.
Wewe ni mpumbavu sana eti kula kulàa juu yangu house girl zaidi ya hayo mambo mkui ngoja siku hakuwekee sumu.....pumbavu sana usirudie kuandika shombo zako kwa mshahara wa kunywa chai
 
Wewe ni mpumbavu sana eti kula kulàa juu yangu house girl zaidi ya hayo mambo mkui ngoja siku hakuwekee sumu.....pumbavu sana usirudie kuandika shombo zako kwa mshahara wa kunywa chai
Mapovu ya nini?Nyie mabeki tatu wa siku hizi mna dharau sana kwa mabosi wenu hapo tu hajakuhakikishia kukuajiri,je angekuajiri ingekuaje?

Embu tumia busara ukiwa humu JF.

Matusi na Kebehi ziache huko kwa watoto wenzako FB au IG.

Mleta mada kaweka wazi mshahara atakao utoa na ofa ambayo anaimudu kulingana na kipato chake.

Kama unaona mshahara wake mdogo basi mtafute tajiri mwengine atakaye kulipa pesa zaidi ya hiyo aliyoitaja mleta mada.
 
Kama sio single sawa, mke m moja bwana m moja wanaweza lakini sio kutangaza kula bure kulala bure hayo mezea. Na kama hamna watoto house gerl wa nini? Kumaeni wenyewe kwanza mkicheki hali ya hewa. House girl ni pale mnapozidiwa na kazi na mtunzine kama mboni ya jicho kwani yeye ni kila kitu katika maisha yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee watu wakiwa kama kumi hii nchi tutafika mbali sio hawa watu wanamtetea huyu jamaa eti anasema kula kulala TAJIRI ANA DHARAU HATARI
 
muoga wa jf nn shida! mbn huo mshahara unatosha tu ulitakaje kwan ww!atoe sh ngp ndo uridhike!mbn matusi namna hyo kwa vitu vya kawaida
Mkuu shida kuleta sheet zake za kusema kula na kulala juu yake kwa hiyo anaona hivyo ni vitu vya maana sana mpaka amlipe kimshahara hiko asingeweka hiyo point ningemuelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom