BADO NAKUPENDA SANA :05
Sikutaka kubishana sana na Hansy, nilikubali na kwakuwa nilikuwa nimechoka sana ilinibidi niage, nilitembea hatua chache akaniita kwa unyonge "Ney. " Nami nilisimama na kumgeukia, aliniambia "samahani Ney, Nisamehe leo sipo sawa niachie namba yako nitakupigia. "...