Agathadastorywriter
Member
- Nov 25, 2019
- 9
- 2
BADO NAKUPENDA SANA :05
Sikutaka kubishana sana na Hansy, nilikubali na kwakuwa nilikuwa nimechoka sana ilinibidi niage, nilitembea hatua chache akaniita kwa unyonge "Ney. " Nami nilisimama na kumgeukia, aliniambia "samahani Ney, Nisamehe leo sipo sawa niachie namba yako nitakupigia. "
Niliingiwa sana utu na hamu yakutaka kujua tatizo la Hansy hivyo nilimgeukia na kumtajia namba yangu ya simu "0754520438." "Asante sana. " alishukuru na mimi nikaendelea na safari yangu mpaka nikafika nyumbani.
Nilipofika nyumbani, mama yangu tayari alikuwa amemaliza kazi zote, nilimsalimia mama na kwakuwa ilikuwa jioni giza lilitanda tayari, niliingia chumbani nikaweka simu yangu katika sehemu ya kuchaji kwani tayari haikuwa na moto, nami nikabadili nguo na kuelekea kuoga, baada ya hapo nilirudi chumbani nikavaa nguo ya kulalia na nikatoka sebuleni nilipomkuta mama yangu anakula huku akiangalia runinga, nami nilipakua chakula nikaungana na mama, mama yangu alikuw mtu wa kuchekesha sana hivyo tulijikuta tunacheka sana na nikasahau kabisa maudhi ya aliyekuwa mpenzi wangu na makwazo yake, niliondoa vyombo nakuingia chumbani kwangu, nilipofika nilikuta taarifa kwamba aliyekuwa mpenzi wangu alinipigia yaani nilikuta (missed call) yake.
Nilikunja uso kwani nilijua wazi atanikera, wakati natafakari hilo alipiga nikapokea akaanza kwakusema "mke wangu niambie. "Nilijikuta nakasirika kwani ilikuwa tabia yake kunikera na kujifanya ananipenda akihitaji msaada kwani mpaka wakati ule sikuelewa.........
============
Sehemu ya sita
www.jamiiforums.com
=============
Sehemu ya saba
www.jamiiforums.com
============
Sehemu ya nane

Bado nakupenda sana
BADO NAKUPENDA SANA :06 anafanya mishe gani maana alikuwa hashauriki kifupi mtu wa kuchagua kazi, Nilipokuwa sijamjibu alisema "mama, umeninunia mwanao, Nisamehe basi na wewe siunajua mimi nakupenda zingine mbwembwe tu. " "Sawa nimekusamehe usiku mwema. "Nilimjibu ili akate simu kwani nilihisi...
Sehemu ya saba
Bado nakupenda sana
BADO NAKUPENDA SANA:07 ili nipoteze muda, nikakuta voice note yaani ujumbe wa sauti kutoka kwa aliyekuwa mpenzi wangu "usinifanyie hivyo mama sahau yaliyopita au nikopeshe basi. "Safari hii hakunisumbua, alizoea akifanya hivyo mimi nachanganyikiwa mpaka nakopa kumpa yeye asiteseke wakati yeye...
Sehemu ya nane
Bado nakupenda sana
BADO NAKUPENDA SANA:08 aliendelea kupiga huku akinikera kwani ile simu yake ilipokua ikiingia niliisikia milio masikioni kwangu, lakini sikujali niliendelea kuongea na Hansy tena kwa amani zote kwani bwana yule alinichosha kipindi chote tulichokuwa pamoja, akifanya hili na mimi nafanya kile ili...