Recent content by Africana Jr.

  1. A

    JamiiForums Tanzania Shukrani kwa ukaribisho - Anna Tibaijuka

    karibu sana mama Tibaijuka. Naomba uanze suala la loliondo. Kagasheki binafsi ananichanganya kwa matamko yake kifupi simuelewi. Suala la ardhi loliondo nadhani wizara zote mbili mngeshirikiana vyema kisha mtupe majibu stahiki. Wamasai zaidi ya 65000 kumpisha mwekezaji wanaelekea wapi?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Sababu iliyomfanya mkuu wa mkoa Arusha kupigwa mawe

    kikubwa tujadili mustakabali wa wanafunzi pindi chuo itapofunguliwa. Najua lazima kuna ambao watatolewa kafara kufukuzwa kama funzo kwa walio wengi. Kwasasa tunashabikia lakini kuna vijana wataharibiwa maisha yao. Kipi cha kufanya?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

    sishangai kwani Wazanzibar wengi sana wapo nchi za uarabuni
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kariakoo Lutheran!!Kweli Wakristo ni wana kondoo!

    kuchochea udini ni laana kubwa itakayotutafuna hapa duniani na ahera. Ukichochea watu wakauana ambao walizoea kuishi pamoja nakwambia mpaka unaingia kaburini ni jambo litalo kusumbua daily. Msi-generalize waislamu wote,msiite dini nyingine ya mashetani,etc na kama ni kundi dogo ni rahisi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa Ubunge Wa EAC, Sasa Kujipanga Upya!

    Hongera sana ila usikate tamaa. Umeona fursa ukachangamkia kwa kuamini kuwa unaweza. Kuthubutu kwako ni ushindi tosha. Well done
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    well said. Ukweli mtupu kiongozi
  7. A

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwako Vincent Nyerere!

    Sururu V. Nyerere yupo vizuri pia jukwaani anatisha
  8. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Wazee wa Sing'isi pigeni kimya lindeni kura pia tusifanye vurugu. Haki itasimama,Mungu yupo upande wetu
  9. A

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    kweli kiongozi kipa yupo safi sana na kumbuka alikuwa kipa chaguo la tatu
  10. A

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Shukrani ziende kwa Van Persie pia hongeren gunners wenzangu sababu ndiyo shukran pekee yakumpa Mikel Arteta
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nondo za CHADEMA leo bungeni kuitaka serikali iwajibike kutengeneza fursa za maendeleo ya vijana

    Wabunge wa CCM wanapoteza muda hakuna wanachosema!
  12. A

    JamiiForums Tanzania Aliyesema hivyo bungeni ni DAVID KAFULILA na sio GODBLESS LEMA

    Ni Lema so viva CDM
  13. A

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Come on Gunners! Ushindi leo muhimu sana kwetu. Mashabiki wa manure wamebaki kimyaa wakingoja leo tufungwe kisha waanze kuongea. Together we stand!!
  14. A

    JamiiForums Tanzania Dk cyrill nini kimemsibu??

    Nilishtuka sana nilipomuona jana TBC!
  15. A

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Go gunners!
Back
Top Bottom