Aliyesema hivyo bungeni ni DAVID KAFULILA na sio GODBLESS LEMA

Status
Not open for further replies.
Afrika bwana maskini wa kila kitu.hulaya john terry kamtuna anthony ferdnand watu wanachek motion ya mdomo katika cctv na jt awez ruka kiunzi.BUNGE LINA KAMERA NA WABUNGE WAPO PEMBENI KWANINI WASISEME HUYU NDO ALIROPOKA AU WANAOGOPANA.suarez na evra negro negro jamaa kakiri ni kwel nilimuita why afrika.
 
Kosa likowapi kusema viva chadema, we ulitaka amaliziaje? ukosoaji mwingine hauna tija unakuwa kama utoto tuu

ahsante kunisaidia ktk iyo content,kwani chadema ni alshabab.pili hata nkiwa mkerewe poa 2.HATA huku 2namhitaji lema aje kupiga mkutano,tunamkubali sana.
 
Kila mtu hupendas kuthibitisha kile anachojua kuwa ni cha kweli bila kujali kinamgusa moja kwa moja au vipi,sioni kosa la mtoa mada kwa kuwa ushahidi wake unatokana na hansadi ya Bunge hivyo kufanya kile anachoongea yeye kuwa cha kweli.
Hoja ya msingi ni kuwa Magic fm wawe wanafanya uchunguzi na kujiridhisha kabla hawajajadili jambo katika vipindi vyao.
 
Katika kikao kimojawapo cha bunge mwaka jana ilisikika kauli hii' FUNGENI MILANGO TUZICHAPE' radio magic ktk blabla zao asbuhi wakawaaminisha wasikilizaji kuwa ni Kamanda LEMA, sikufurahi mi kama muumini wa siasa zake, ieleweke kuwa aliyekuwa anafuatilia bunge live aliona na kusikia nikiwemo mimi.

SIMCHUKII Mh David Kafulila ila nathibitisha kwa mujibu wa hansard kuwa aliyetoa ile kauli ni mbunge wa kigoma kusini DAVID KAFULILA. Niwaonye magic fm kuwa siasa za lema isipelekee ahusishwe na vitendo ambavyo si vya 'kawaida' kisiasa.

VIVA CHADEMA

angalau leo niona jina la radio station tofauti
 
kwa jinsi mbavyo wabunge wa CCM wanaudhi kushagngilia na kuunga mkono mambo yasiyo na tija kwa taifa ayeyote aliyota kauli hiyo ndio shujaa wangu, kwani anajua nini hasa kinatakiwa kufanyw andani ya bunge la wapenda maslahi binafsi kama la Tanzania.
 
ndugu yangu majuni majani umejiunga jana tu na uongo
viva ccm aliyetamka milango ifungwe ni livingstone lusinde mbunge aliyemuangusha john malecela
 
Tuache porojo na utoto kwenye hii blog - unapotoa mada come up with evidences to support it. Otherwise ni kupoteza muda!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom