Nakubaliana nawe lakini pia na yeye anatakiwa aangalie afya yake na si lazima apumzishwe anaweza pia kuomba kupumzika.Taabu ni kuwa marupupu na hadhi vinawaumiza wengi.Hivi muda wa kiongozi wa serikali, mfano waziri, kuruhusiwa kuwa on sick - leave ni muda gani? Au it remains kama discretion ya aliye mteua? Huyu ni mchumi mzuri sana, a Toronto PhD, na ile wizara ilimfaa sana. Lakini kama ni mgonjwa, apumzike tu kwani ile wizara ni kiungo muhimu sana cha uchumi wetu. Chami bado ana umri mdogo, akipata nafuu au kupona, atarudishwa tu kwenye baraza la mawaziri kwani wataalam wa aina yake miongoni mwa wabunge, sio wengi sana. Na pengine hii itampa nafasi Migiro kuwa waziri pale viwanda kwani kwa CV yake ya sasa, hawezi kupewa wizara ndogo ndogo, ni aidha Viwanda, Fedha au Foreign Affairs.
Nimemuona TBC jana usiku kwa kweli he is sick!!