Ukifunga CCTV kamera Kwa ajili hiyo na bado yupo atajua umefanya kwa ajili yake,ndio sasa atakukomesha vizuri,,,dawa ni kumweka kushoto,,,vinginevyo uwe haumlipi vizuri au humjali.
Kula vitu hivi braza,karanga mbichi,mihogo mibichi,bamia,ufuta,pilipili,tangawizi,tikiti maji,,,piga unavoweza ,usisahau mazoezi,,,ukifanya ivo bas umewin.
Kwenye dhana hii jinsia ya kike inapata shida Kwa kweli,wadada wafupi ndani ya ndoa ni wakorofi mno kuliko wale warefu,wanavijitabia vyenye kufanana wivu ,na ubabe na matusi.
baba yangu baada ya ripoti ya kushika mkia alinifuatilia shuleni kibabe na kunipiga ngumi na mitama na kunifunga kamba hadi home,nililala na kamba had I asubuhi ,basi nikikumbuka hii ishu huwa nacheka,lkn namshukuru kwani ilinifanya kuwa mgumu sana ktk life langu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.