Msaada jinsi ya kudhibiti wizi dukani

Msaada jinsi ya kudhibiti wizi dukani

Duuh pole sana bora upate gharama ya kufunga cctv camera kuliko kuendelea kupata hasara
 
Si umwambie wazi kuwa umejua utundu wake, na kumtaka aache mara moja!!!
 
Kufunga cctv camera ni nafuu mno,Kama upo Dar, pita maduka ya kariakoo kuna cctv camera zinakuwa complete na dvr zake kabisa nunua tafuta fundi akuwekee tena weekend akiwa mapumziko huyo kijana wako pasipo kujua.Mbona utamkamata mapema.
 
Ukifunga CCTV kamera Kwa ajili hiyo na bado yupo atajua umefanya kwa ajili yake,ndio sasa atakukomesha vizuri,,,dawa ni kumweka kushoto,,,vinginevyo uwe haumlipi vizuri au humjali.
 
Kama njia anayotumia kukuibia ni hiyo moja ya kubadilisha balbu si umwonyeshe kwamba umeshagundua ? Then, tafuta aina nyingine ya wizi anaofanya !


Amtimue akafanya kazi ya kusafisha mabansa ya kuku awe anaiba samadi
 
Dogo anakuibia

Umejua njia anayotumia

Ila hutaki aondoke maana kuna vitu adimu anafanya
 
Back
Top Bottom