DODOMA: Kigwangalla aagiza kukamatwa kwa Kijana maarufu mitandaoni kwa ushoga, James Delicious

Wewe shoga unataka nani sasa aongelee ushoga ambaye hana kazi ingine?, mbona unajichoresha huwezi kumzuia Kigwangala kama waziri kulisemea lolote lile ambalo katika jamii halifai! unabaki kusema yuko bize hatakiwi kulisemea la ushoga asemee ya madawa tu......

ebu mtaje kiongozi gani au nani ambaye hayuko bize anapaswa akemee ushoga??

taja



Miaka 8 Member Humu JF's Still Umefail Kupata Busara Kwenye Maandishi Yako,

Pili Umeshindwa Kabisa Angalau To Improve Your Intellectual Thinking Capacity

Naona Ni Matusi Tu Na Udhaifu Wa Kujenga Hoja, Hata Mtoto Wangu Wa Miaka 9 Hawezi Ku-debate Na Wewe

Ukikuwa, Ukaacha Utoto Na Ukajiendeleza Kwenye Kujenga Hoja Labda Naweza Kujibu Ujinga Wako

Lakini Kwa Sasa Sina Muda Na Wapumbavu Na Wasio Tayari Kufikiri

Huwa Tunaamini Busara Na Umri Huwa Vinakuja Pamoja

Lakini Ni Bahati Mbaya Sana Kwako Imekuwa Tofauti

Mwisho Jaribu Kuandika Vitu Vyenye Kuakisi Avatar Na Signature Yako Au Ungeweka Picha Ya Kigangwalla Tu Tujue Moja Akili Zenu Zote Sawa
 
HIII NCHI BANA!
hakyamama kuna muda unaweza ukajikana uraia kwa mambo kama haya!
 
BUNGENI HIVI PUNDE:

1235f7dd8a78485d38cd193666e68045.jpg


Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akijibu hoja za wabunge ameviagiza vyombo vya usalama kumtafuta mtu anayejulikana kwenye mitandao ya kijamii kama "James Delicious" kwa kujitangaza kama shoga kinyume cha sheria na kumfikisha mbele ya sheria kujibu tuhuma za kuendesha biashara ya kuuza ngono ya kinyume cha maumbile.

James Delicious alijadiliwa JF, zaidi soma Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

5ffc01343f1c818244ceff8811f5a657.jpg

802b20047696ccf4c8d86ebf60d901c0.jpg


UPDATE:


Mbona sasa hatujatangaziwa wenye list ya mashoga tuipeleke wapi kusudi nao waitwe wakohojiwe mimi ninao kama watatu ninao wajau mmoja ni mkuu wa mkoa Fulani..
 
Ifike sehemu tusitolewe kwenye mistari kila issue hot ikitajwa hata Saudi Arabia kuna mashoga
 
Haya ni mambo ya hovyo sana kudeal nayo.

Kumkamata ni kumfanya ajione kuwa kuna watu wanashughulika na uwepo wake.

Ana mengi sana ya kudeal nayo wizara ya afya, labda kama na yeye anatafuta kiki tu.

Ila hili uachiwe wewe maana ni dogo sana kwako
 
Haya ni mambo ya hovyo sana kudeal nayo.

Kumkamata ni kumfanya ajione kuwa kuna watu wanashughulika na uwepo wake.

Ana mengi sana ya kudeal nayo wizara ya afya, labda kama na yeye anatafuta kiki tu.

Hivi sumu ya panya haiui mtu
 
Ushoga sio minor ishu ila serikali haina unit ya intelijensia sas wanamua kutumia taarifa za mitandaoni na vile watu wanajadili.
 
SWALI KWA KIGWANGALA NA UMMY MWALIMU:
HUYU KIJANA ANA TATIZO LA KIJINAI AU TATIZO LA KIMEDIKALI, NA VIJANA WA AINA YAKE WANGAPI, NA SERIKALI INAO MPANGO GANI WA KUWASAIDIA?


Huko nyuma niliwahi kuandika, narudia tena, kumkumbusha Dr. Hamisi KIgwangala:

Ushoga sio kosa la jinai. Kilicho jinai ni tenda la ulawiti, bila kujali jinsia ya mwenye kulawitiwa. Sheria ya makosa ya jinai inatumika hapo. Hilo, la kwanza.

Pili, ukimtazama huyu kijana, hapa utaona haraka kwamba anayo matatizo ya kijenetika na kifenotipika (Genetypical and phenotypical problems).

5ffc01343f1c818244ceff8811f5a657.jpg


Kwa hiyo, hapo kunahitajika suluhisho la kimedikali, sio kijinai.

Kwa nini Naibu Waziri na Waziri wake wanashindwa kuelewa hoja hii?

Waziri tunaweza kumsamehe, kwani yeye kama mwansheria, hana tofauti na mwanamke aliyeingia choo ya kiume. Lakini, Kigwangala, ni mtaalamu wa taaluma husika.

Namshauri, Kigwangala, kujielimisha tena vizuri juu ya social deviance and conformity, ili aweze kuwa na msaada kwa taifa. Kwa kuanzia anaweza kusoma hapa:

Conformity-deviance: Conformity and Deviance
Natural vs unnatural: Natural Unnatural
Sex vs religion: Sex and Religion
Natural law vs Laws of Nature: Natural Law and the Laws of Nature
Legal vs Illegal: Legal Illegal
Healthy vs sick: Healthy Sick
 
Back
Top Bottom