Mimi najiulizaga hivi uislamu unafundisha watu kuwa waganga wa kienyeji (walozi)??
Maana ukiingia Facebook na Instagram unakuta mitangazo kibao mara Dr. Khamis, Husein, Mrisho, Khalfan,Shabani, Mohamed anatibu mvuto wa pesa, kumrudisha mke au mume, pete ya bahati na maneno mengine mengi tu...