Mwenyekiti wa CCM uone aibu!

Mwenyekiti wa CCM uone aibu!

CCM huwa hawana mshipa wa aibu..... kama Tyson alietaka kuzipiga na Mwandishi wa Habari (mpiga picha) wa Mwananchi.
 
Ee Mungu mwenye enzi akubariki, tuombe uzi uurefushe na uwe makala kwenye gazeti la kila siku. Hongera The Analyst.
 
Hata Marekani wanaotoa mchango mkubwa wa Ushindi kwenye kampeni hukumbukwa kwenye kuunda serikali.

Wewe unafikiri vita ya Propaganda kama siyo wale vijana kusimama kidete kwenye mitandao shaping ya opinion ingetawaliwa na nani?

JK ni muungwana sana, ndiyo maana anatambua michango ya watu waliokifikisha chama kushinda, anaona ni watu wanaofaa kukumbukwa.

Ifahamike, Serikali iloyoko madarakani inaongozwa na Magufuli lakini siyo ya Magufuli, Ni serikali ya CCM, Ilani ya Uchaguzi ya CCM , CCM ambayo mwenyekiti wake ni Jakaya Mrisho Kikwete.
Hatuna haja ya UUNGWANA hapa umetosha kwa kipindi cha miaka kumi tu sisi tuendelee na HAPA KAZI TU yetu!
 
Sio kushambuliwa bali anashauriwa asimsumbue Rais na mambo yake ya kona kona. Haoni aibu?
Tatizo hujui serikali inavyofanya kazi.
Pia huwafahamu ccm,ndio maana unaongea kimipasho zaidi
 
Kwa fikra zako unadhani wewe waweza nifundisha mie jinsi serikali inavyofanya kazi? Jipange upya kijana.
 
si awape ukatibu wa chama wilaya na mkoa
 
Hata Marekani wanaotoa mchango mkubwa wa Ushindi kwenye kampeni hukumbukwa kwenye kuunda serikali.

Wewe unafikiri vita ya Propaganda kama siyo wale vijana kusimama kidete kwenye mitandao shaping ya opinion ingetawaliwa na nani?

JK ni muungwana sana, ndiyo maana anatambua michango ya watu waliokifikisha chama kushinda, anaona ni watu wanaofaa kukumbukwa.

Ifahamike, Serikali iloyoko madarakani inaongozwa na Magufuli lakini siyo ya Magufuli, Ni serikali ya CCM, Ilani ya Uchaguzi ya CCM , CCM ambayo mwenyekiti wake ni Jakaya Mrisho Kikwete.

Mhh, ingekuwa mimi wewe kwa maneno ya mleta uzi hata nisingekuuja kutetea lolote. Huyo Magufuli mwenyewe kila siku anasema serekali ya Magufuli. Ukisikia ameitaja ni serekali ya ccm ni mpaka awe mbele ya makada na akiitaja ni kama anawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Kwa ujumla wanaccm maslahi mnajilazimisha kujifanya kama anachofanya Magufuli mnakikubali lakini kiukweli wala hampo na mnatamani ashindwe, kwani mnajua mafanikio yake ni nyie kutumbuka kama majipu
 
Naomba niseme sijamuelewa vizuri sana rais wetu mstaafu ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Mh. JK lakini kama haya ndiyo anayomaanisha basi ni vizuri akaanza kuona haya aka aibu. This is not the time. Please JK settle down.
Mara kadhaa amejaribu kumshawishi Rais "awakumbuke vijana waliokipigania CCM kwenye mitandao ya kijamii wakikesha nk nk" Je hii ina maana wateuliwe katika nafasi za juu kwenye serikalini au watafutiwe fedha za kifuta jasho? Kama hii ndiyo maana yako basi tunapaswa kukuombea maana una matatizo makubwa!

Kama nia yako ni kumwambia rais aliyepo madarakani awaone na kuwapa mkono wa pongezi na shukrani hiyo ni kazi yako wewe na wanachama wenzako katika chama lakini si majukumu ya msingi ya urais as an office/institution. Wananchi wa kawaida hata hatupaswi kujua.

Labda nikukumbushe mambo machache Mh. Mwenyekiti.

Mbinu zenu chafu (kupitia mtandao wenye umafia ndani yake) ndiyo chanzo cha Tanzania kukosa kiongozi bora wakati wa uchaguzi wa mwaka 2005. Tungeweza kuwa na Magufuli wakati ule au hata Salim A. Salim na yeyote mwingine for that matter. Lakini wenye uwezo walikatishwa tamaa na kupitia ujanja ujanja sawa na aliojaribu rafiki yako Edo ukashinda kwa kishindo na wenye kufaa kihalisia wakapotezwa kiaina. Kumbuka gazeti la Rai dhidi ya Magufuli then!

Hukuwa na mpango wowote wa kuisaidia Tanzania kama nchi. Hata ukikataa leo rohoni unajua hukuwa na plan yoyote JK!

Wanamtandao mlitumia mbinu na fedha nyingi kupata madaraka lakini hamkuwa na moja la kuitoa nchi ilipokuwa imefikia. Mwenzio pamoja na machafu yake kapunguza madeni wewe na rafiki zako mkawa mnatumia tu!
Ulitarajia nini? Maisha yaboreke au familia yako ineemeke?

Ulikuja na "Baraza la Marafiki" sikumbuki idadi lakini 60 ilitajwa mara kwa mara. What exactly did you expect? Kuboresha maisha ya wanyonge waliokushabikia wakidhani utasaidia kwa kuwa na utitiri wa mawaziri?

Leo kaingia kiongozi mpenda wanyonge na mzalendo (zaidi yenu wanamtandao wote) unataka kumshawishi afuate nyayo zako mbovu ili kuwafurahisha nyie wachache? Ona aibu bosi! Huu siyo wakati. Nani asiyejua kwamba hakuwa chaguo lako kwanza. Kama Magufuli alikuwa chaguo lako tangu awali "Unpopular Membe" aliingiaje tano bora? Wacha zako hizo!

Magufuli akifuata ushauri wako kwa kuwakumbuka waliokipigania chama kwa njia mbalimbali katika kipindi kigumu hasa wakati rafiki yako kipenzi Edo akitishia hali (kwa tafsiri ya favours na vyeo) basi ni wazi yafuatayo lazima yatokee.

1. Ulaji mpya wa mali ya Umma hasa miongoni mwa wateule favour/shukrani "pigania chama".
2. Kudorora kwa vita dhidi ya rushwa. (Nani asiyejua baadhi ya wakwepa kodi ni wachangiaji katika kampeni zenu katika mtandao).
3. Kufa kwa juhudi za kupambana na biashara haramu ya madawa ya kulevya. (Wengine rafiki na familia zenu na mnajua).
4. Kuporomoka kwa mapato ya serikali kufuatia ukusanyaji mbaya wa kodi/ushuru na maduhuli ya serikali.

The list goes on and on!
Naomba nirudie tena "Bw. JK kama ushauri wako ni kumtaka rais apendelee watu waliomsaidia kushinda uchaguzi ni wazi umeishiwa na bora hata ukaona aibu na kung'atuka uwenyekiti mapema tu kuwapisha watu wanaoamini potential ya taifa letu katika kupata maendeleo.

Nakumbuka wewe uliamini tunaweza kuifikia Japan kwa msaada wa Marekani na Ulaya. Hahahaaaa!

Your time is over.
Kama umeondoka madarakani ukiwa unpopular sana ilikuwa choice yako mwenyewe! Huwezi ku-graduate Uchumi ukashindwa kujua dollarlization ya uchumi kwa nchi inayoimport takriban kila kitu kama Tanzania ni kutafuta mfumuko wa bei usio wa lazima!

Asante kwa kusoma!
Mkishashinda uchaguzi, mnaunda serikali ambapo mnagawana madaraka. Vijana waliompigania Magufuli wakikumbukwa (kupewa madaraka),haita kuwa ajabu,wewe kazi yako ni kudai serikali ili kutumikie.
 
Jamani mbona mnazoza sana!! Mwacheni baba Miraji apumzike.wewe huwezi kuwa yeye hata ufanyeje? Unatamani umfikie hata nusu.jamani alopewa kapewa....fikiria zaidi maisha yako mtoa mada. Ikulu hawezi kuacha kwenda.au siku akitaka kwenda mwambie akupitie japo ukapapase macho.......
 
Utawala wa kuanzia mwaka 1985 hadi 1995 nchi ilikuwa pango la walanguzi. Wezi na mafisadi ndiyo waliokuwa na pesa kuliko serikali. Rais aliingia madarakani akiwa hana dira ya kuongoza nchi akafikia mahali akaropoka kila kitu rukusa hali iliyopelekea baba wa Taifa kuingilia kati kwa kutoa hotuba kali na kuainisha nyufa zilizokuwa zimelikumba Taifa ikiwemo kurudi kwa ukabila, rushwa, kutishiwa kuvunjika kwa muungano na udini. Kana kwamba haitoshi Azimio la Arusha likavunjiliwa mbali ili wezi wa mali ya umma wasipate kuulizwa.

Utawala wa kuanzia 1995 hadi 2005 ukaja kurekebisha makosa, heshima ya nchi na serikali ikarudi kugeshimika ndani na nje ya nchi.

Utawala wa kuanzia 2005 hadi 2015 ulioingia madarakani kwa mbwembwe ndiyo ukarudia makosa ya 1985 hadi 1995 kwa kudidimiza uchumi hata misingi iliyokuwa imejengwa ikafutiliwa kwa mbali.

Kila kukicha tukawa tunahesabu kashifa moja baada ya nyingine huku mwenye dhamana ya kulinda katiba na sheria akibakia kucheka kama vile yanayotendeka ktk Taifa ni kitu cha kawaida.

Sasa tulimwomba na kumlilia mungu ametupa Rais ambaye ni chaguo lake lakini wananchi tunashangaa safari za kikwete kwenda Ikulu haziishi. Tunajiuliza Rais alisahau nini Ikulu.

Niliwahi kutoa ushauri ktk mtandao huu kwa mhe.Magufuli kama akihitaji ushauri akapate kwa Rais Kagame na si kwa Kikwete. Kikwete umeiacha nchi ikiwa hoi taabani tunakuomba utulie Msoga na uache kumzonga Rais mwache afanye kazi
 
Jamani mbona mnazoza sana!! Mwacheni baba Miraji apumzike.wewe huwezi kuwa yeye hata ufanyeje? Unatamani umfikie hata nusu.jamani alopewa kapewa....fikiria zaidi maisha yako mtoa mada. Ikulu hawezi kuacha kwenda.au siku akitaka kwenda mwambie akupitie japo ukapapase macho.......

Kwa taarifa yako hakuna hata mwenye wivu naye, kwa kile alicholifanyia taifa hili wala hakuna anayetaka kuwa kama yeye. Hapa anapewa ukweli wake tu. Kama wewe ni role model wako tunaomba ushikilie hapohapo.
 
Ahsante kwa kumpaasha kisawasawa.Huyu bwana hana aibu kabisa.Kwanza alipaswa kuwa lupango,alishukuru bunge rubberstamp la Tanzania.

Back
Top Bottom