Recent content by adoclaus

  1. adoclaus

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inakubali mi nimejaribu leo iko fresh Sent using Jamii Forums mobile app
  2. adoclaus

    Mpenzi wako akiwa na app hizi kwenye simu yake ujue anachepuka

    Mi nshapakua Kama 3 iv nataka nimix bom la black n white Sent using Jamii Forums mobile app
  3. adoclaus

    Huyu mwanaume simwelewi kabisa

    Anasev bajet huyo mjini hapa Dada ushawekwa rizev jiongeze tuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. adoclaus

    Natafuta mwanaume wa kweli

    Mie nnakufaa kabisa Ila tatizo nna 25yrs but mwenye hekima na busara zake like nna 50yrs Sent using Jamii Forums mobile app
  5. adoclaus

    Usiku huwa kuna ninii

    Anayelimisha huyo ni mchawi, jini mahaba ye show tu, mi si msela sasa bachela tangu lini jin likanisapraiz gheto Kama kanisa utaniambia nn Sent using Jamii Forums mobile app
  6. adoclaus

    Usiku huwa kuna ninii

    Tena bora jini mahaba kuliko Yule anaekulimisha Yule au Yule anaekufanya farasi ukiamka ka ulikua unabeba tofali Sent using Jamii Forums mobile app
  7. adoclaus

    Usiku huwa kuna ninii

    Aombe kwa imani sasa akiomba juu juu lazma limsapraiz Sent using Jamii Forums mobile app
  8. adoclaus

    Usiku huwa kuna ninii

    Hahaha amen, huwa lina tabia ya kusapraiz Sent using Jamii Forums mobile app
  9. adoclaus

    Usiku huwa kuna ninii

    Una imani haba jini mahaba ilo limekutembelea
  10. adoclaus

    Msaada jamani sehemu ya kuuza haya madini ya Tanzanite kwa Dar

    sijayapima mkuu ila nilienda kwa sonara akayakagua akanambia ni yenyewe ila yeye hausiki kwenye manunuzi mpaka nikutane na wataalam wanaoyanunua
  11. adoclaus

    Msaada jamani sehemu ya kuuza haya madini ya Tanzanite kwa Dar

    nakuheshim sana man na sipend kuvunjiana heshima mimi sio dogo wala sipo kama unavonifikiria samahan sana heshima ni kitu cha bure
  12. adoclaus

    Msaada jamani sehemu ya kuuza haya madini ya Tanzanite kwa Dar

    nina madini yangu ya tanzanite mawe mawili moja la zambarau na jingine la kahawia je kwa dar es salaam tanzanite inanunuliwa sehemu gan?nataka kuyauza au mpaka niende arusha?? msaada wenu wadau
  13. adoclaus

    Vipi kuhusu kuapply online

    Sawa sawa wakuu nimewapata
  14. adoclaus

    Habari

    Santeni sana wadau nshakaribia mjengoni
  15. adoclaus

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna aliempunyua mzungu/muhind jana?
Back
Top Bottom