Usiku huwa kuna ninii

Usiku huwa kuna ninii

Hawa jamaa bwana usiwatafakari sanasana waombeeni tuuh..!

"Shekhe kipozeo anasema mwanamke mmoja ni mama yako tu, huwezi kuwa na mke mmoja kama mama yako.. yule jamaa km zimefyatuka.

Siku moja alikuwa anahojiwa na Zamaradi Clouds nilicheka mno.
Yaan muda wote anawaza ngono tu aisee
 
Kwa hiyo inakuwa kama mediation , , nilisoma kule itelijensia kutoa nje ya mwili,,,basi mbona mi hutoka usiku tu au hali hiyo hunikamata nikiwa nimelala mbona nikiwa nimekaa haiji
Nitawezaje kuitumia wakati sijui lolote
Halaf huko kutoka nje ya mwili si naweza kufa mie jamani

Kuna rafiki yangu nilimtabiria kitu na kikawa kweli mi mbona yangu sijitabirii kuna kipindi nilikua naona kuna mambo mabaya yananitokea na kweli yakatokea lo
hatua za kutoka nje ya mwili zinamtaka mtu awe amelala,
Utafute huo uzi usome kwa makini hatua zote zipo zimejadiliwa vyema

_ where ever you are remember me_
 
Mawazo ya uchawi ni vitu vya zamaaani sana...hiyo ni shida tuu ya ubongo unavyokuwa una act ndivyo sivyo
Dawa...uwe unaomba kwa imani yako halafu unalala...ukiweza lala ukisikiliza mawaidha...mahubiri au nyimbo za imani yako usiku mzima ...halafu ulete mrejesho

germve himself
 
Hawa jamaa bwana usiwatafakari sanasana waombeeni tuuh..!

"Shekhe kipozeo anasema mwanamke mmoja ni mama yako tu, huwezi kuwa na mke mmoja kama mama yako.. yule jamaa km zimefyatuka.

Siku moja alikuwa anahojiwa na Zamaradi Clouds nilicheka mno.

yaan had kichwa kinauma!nilimuona !makalio anaita neema za ALLAH! hahaha nikiwa vby huwa namchek you tube! kwakweli leo umenichekesha sana sana! wake zake wana shida jaman! dah!
 
Juzi kati hapa nilishtuka usiku saa saba,nililala mapema sana,nikahisi kuchoka kulala nikaenda kulala kwenye kochi sebuleni,nikapitiwa usingizi kidogo mara nikafumbua macho utafikiri nimeamshwa hivi,,nikafumba macho tena ili nisinzie ile nataka kupitiwa tu nikaona kama nimepitiwa na giza usoni paa nikaamka tena nikaapuuzia nikalala ile hali ikajirudia ya kitu kama giza kinapita ,halaf kukawa na nguvu fulan sijui ilikua inatoka wapi inanilazimisha nipate usingizi mzito kweli wakati mi nikitaka kuamka lakin kuamka nashindwa ,,hiyo hali inanitokea huku naongea kimoyo moyo

. ,,nikaanza kusali wapi hakuna kitu,,mwili unaishiwa nguvu nakua najitahidi kuchezesha mguu ili nipate nguvu niamke lakin wapii,,,halaf nikawa siutaki ule usingizi kwani nakua naona napelekwa sehemu siijuii halaf inatisha
wakati nazidiwa kupata usingizi wa lazima nikasikia kitu kinanipuliza sikioni huku nikipata maumivu makali hapo hapo nikaamka tena nikakaa ,,nikajirudia zangu chumbani nikaona niende chumba cha ndugu yangu nilale nae maana mwanzoni nililala chumba kingine

Nimelala na huyu ndugu ,huwezi amini nikifumba macho nakua naona kama naonyeshwa kwenye tv,naona pote hadi nje kule ,kule sebuleni napaona halaf mwili ukawa unatetemeka napata maumivu ambayo sio makali sana nikaendelea kusali lakin hakuna kitu,,yaan sikulala jamani nikalzimishwa ule usingizi nikawa naona watu wawili wana giza kubwa wananirukia kwenye mwili wangu wanarudia kile kitendo ,,kumbe vile nahangaika nilikua nimvuta yule ndugu yangu anisaidie baadae nikashtuka nikaona nikae macho tu sasa,,asubuhi ilipofika yule ndugi yangu akaniambia leo ulikua unaning'ang'ania miguu yangu,,nikamwambia kuwa leo nimehangaika kulala tu ,,nikaona kazi kumsimulia

Hii mim hunitokea mara nyingii yaan sio mara ya kwanza kunitokea na hunitokea nakuwa najijua kabisa ila mwili unakuwa hauna nguvu,,,na mara nyingine huwa hadi naona natolewa nje huku moyoni nakua nasema Mungu wangu napelekwa wapii mie nikisali sali naashtuka
Siku zingine nalala tu tu vizurii,siku nyingine nakuwa hivyo
Je ni kuwangiwa au nin maana wengine husema uchawi hakuna cc Nyani Ngabu
Je wengine huwa mnalala tu vizuri au wengine mnahangaika kama mimi nifanyeje ili hii hali niiepuke kwa waganga siwezi kwenda kabisa ,,so usinishauri habari za waganga wala kwenda kanisani

Kuna siku napo nililala ikanitokea hivyo nilisikia napigiwa kelele masikioni kwa nguvu mpaka nikaamka,,siku nyingine najikuta napiga ukuta sijijui yale maumivu yananiamsha kiganja kinauma tatizo nakuwa najijuaa kabisa
Pole sana aisee. Haya mambo hata mm yalikuwa yananitokea zamani. Kadri umri unavyoenda siyaoni tena. So puuzia yataisha tu. Yaan umekopi mlemle. Ulivyosema unapiga ngumi ukuta mpaka nikacheka maana na mm nlikuwa napiga hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo ya uchawi ni vitu vya zamaaani sana...hiyo ni shida tuu ya ubongo unavyokuwa una act ndivyo sivyo
Dawa...uwe unaomba kwa imani yako halafu unalala...ukiweza lala ukisikiliza mawaidha...mahubiri au nyimbo za imani yako usiku mzima ...halafu ulete mrejesho

germve himself

there u r! ni jinsi unavyoulisha ubongo wako! yes usk na mm naweka morng star full gospel na mahubiri!unalala fresh
 
Mama Sabrina
Jaribu kubadili jinsi ya kulala (usilale chali)
Pia, ongeza bidii ya kusali ukitaja jina la Yesu mara nying zaid kabla ya kulala.
 
hahahahahahhahhaha! iman hizi ! kume umekalia utajiri jaman! woyooooo
Mkuu haya mambo nimeyakuta humu humu, sijasema kuwa kakalia utajili but nilikuwa namfahamisha nmewahi kuona mjadala wake humu ndani

_ where ever you are remember me_
 
Pole sana aisee. Haya mambo hata mm yalikuwa yananitokea zamani. Kadri umri unavyoenda siyaoni tena. So puuzia yataisha tu. Yaan umekopi mlemle. Ulivyosema unapiga ngumi ukuta mpaka nikacheka maana na mm nlikuwa napiga hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo nawe ulikua unatoka nje ya mwili
Siku hiyo niliumia kiganja wewe
 
Sasa tusemeje jamani.
Jini mahaba (mwanamke) atakujaje kwa mwanaume bila MIADI???

May Allah bless Me and You

hahahaha huyo jini mahaba anataka kufumania ajue anaduduana na nan! eti oh asbh ukiamka unajikuta umechafuka hahahahahahah! hawajui wanawake tunadischarge....kha! huwa nawaza siku imetokea nimeenda kwa waganga ile kuingia tu nishaanza kucheka! sijui kuvunga mm aic!
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Na amjia mida ya kufumania,saa 7 had 8 usiku

May Allah bless Me and You
 
usifikiri huko mwaya utajikuta kila siku kwa waganga wa kienyeji! hyo kukosa hamu ni kawaida hatujawa mambwa tutake kila mara! me mtu anieleze habari za majini mahaba namuona yy mwenyew ni mahaba jini
Hivi unajua kunawanawake hawana hisia kabisa za mapenzi??
 
Back
Top Bottom