Usiku huwa kuna ninii

Usiku huwa kuna ninii

Na amjia mida ya kufumania,saa 7 had 8 usiku

May Allah bless Me and You

hahahaha nione huruma mkuu !nahs uchiz utanipata hahahaahahhhah! mida sio kabisa hyo! hahahahhahha dah
 
  • Thanks
Reactions: SDG
pole sana !kunakipindi nyuma na mm iliwah nitokea nadhan nikiwa na miaka 15!nikapelekwa hosp nikaonekana na malaria nyingi sana !since hapo hakuna kitu! sana sana nawaota kina l.i.p.u.m.b..a tu .....mxiew zao!

pole!jaribu kwenda hospt!
Hahaha, unawaota kina li.pumba tu, mkifanya nini?
 
Hahaha, unawaota kina li.pumba tu, mkifanya nini?

hahahaha mie naotaga zaid wanasiasa aic!labda kwajili nawafuatilia sana! namuotaga anavyoongeaga vile km hana pumzi vile arghhh ngj nije niote 'vifo' tu sasa maana ndoto zangu na mm huwa kweli tupu!
 
Tena bora jini mahaba kuliko Yule anaekulimisha Yule au Yule anaekufanya farasi ukiamka ka ulikua unabeba tofali

Sent using Jamii Forums mobile app

hahahaha jini mahaba ni special kwa utamu! hahaahha!kwan anayelimisha anajulikana kama nani?? naona una ufaham sana juu ya hili! au ndo nyamkera hahahahahaha
 
  • Thanks
Reactions: SDG
nimeogopa ghafla! ww dini gan
Muislam,,lakin huwa ikinitokea vile ntasoma sura zote wapii ntasoma quran wapiiii hakuna kitu ,,huyo luck dube kaniambia ukweli huwa natoka nje ya mwili
 
hahahaha mie naotaga zaid wanasiasa aic!labda kwajili nawafuatilia sana! namuotaga anavyoongeaga vile km hana pumzi vile arghhh ngj nije niote 'vifo' tu sasa maana ndoto zangu na mm huwa kweli tupu!
Huoti kujigi-jigi?
 
Muislam,,lakin huwa ikinitokea vile ntasoma sura zote wapii ntasoma quran wapiiii hakuna kitu ,,huyo luck dube kaniambia ukweli huwa natoka nje ya mwili
Soma Surat nnasi mbona huelewi naww ???au huijui ??kul angudhubirabinnasi ,Maliki nnasi ,ilahi nnasi minsharilwasiwasilhannasi ,alladhi yuwasiwisufih sudirinnasi, ,minaljinati wannasi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom