Recent content by Adelina Johnbosco

  1. A

    JamiiForums Tanzania Serikali kuboresha kanuni za Sheria ya kupata taarifa (Access to Information) kufikia 2017

    Haihusu waandishi hii,,,,,habari au taarifa inayomaanishwa hapa ni zile (information of the government na si news za tv ama redio au magatezi au blogs)....................
  2. A

    JamiiForums Tanzania MARA: Nyumba 300 zabomolewa

    Hiyo paragraph ya mwisho sijaielewa,,,,, mbona inapingana na ya juu? au kuna mis understanding kati ya ngazi za juu? otherwise taharifa iko poa, ngoja tuone hatima ni nini? ila kikawaida hawa wawekezaji wananyonyaga sana haki za wenyeji,,,,,na seriali bado inafumbia macho suala...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Vituo vya msaada na ushauri nasaha kwa waathirika wa dawa za kulevya - MWANZA

    kweli, nyuma ya Kanisa la PEFA na KKKT,,,,,,
  4. A

    JamiiForums Tanzania Sababu ya kuchelewa kwa pesa ya kujikimu vyuoni ni ipi?

    vigezo wanavyo bt mkopo hana mfano, mtu ni yatima, kasoma kayumba schools, walezi hawana uwezo, mahitaji ya kupata mkopo (yaani all process kafanya)
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha sheria za barabarani

    hakika.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Sababu ya kuchelewa kwa pesa ya kujikimu vyuoni ni ipi?

    Pole sana ndugu, sio kwamba nakukandamiza kwa haya ninayoenda kuyaandika ila , tusaidiane kuwaza. wakati wewe unalia upatiwe hiyo hela, mimi nawawaza wale ambao uwezo wao uko sawa na wako, au pengine chini yako na bahati nzuri au mbaya HAKUPATA MKOPO. Tujuzane la kufanya katika hili.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Sukari haitakuwa tatizo Ramadhani

    swali wasi wasi wangu ni kwamba, inakuwaje kwa wale ambao tayari bei zao zinazidi hiyo bei ya 2,300/= aliyoisema mkuu?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe awasili Polisi Dar kuhojiwa, aachiwa Kwa dhamana

    hapa nakuunga mkono kabisa, uko vizuri ktk ufafanuzi wako,, nahisi hata aliyekosea pahala, atakuwa ameelewa.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe awasili Polisi Dar kuhojiwa, aachiwa Kwa dhamana

    mi sijaelewa taharifa hii, amejipeleka polisi au kapelekwa/kaitwa?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani nitumie kulipa haya Madeni?

    pole sana kama hii inakusumbua, cha kufanya , ni kuwaza ahadi zako na aliyekupa zilikuwa za mda gani wa kulipana,,,kama mda umepita, hapo tayari umepoteza uaminifu na cha kufanya ni kujitahdi kulipa, kama mda bado na una madeni hayo yote, basi jitahidi sana kurejesha
  11. A

    JamiiForums Tanzania Project funding sources

    hakika
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nini zaidi, urembo/uzuri wa sura au tabia?

    itakuwaje endapo mwonekano unaopenda mwisho wa siku hana tabia unayotaka, na tayari umeanza mahusiano
  13. A

    JamiiForums Tanzania Aina za nguo na mitindo ya nywele huongeza urembo?

    Si mimi tu na wewe, kuna baadhi ya watu pia wanataka jua kusuhu hili. ni nguo gani humfanya mtu (mvulana au msichana) aonekane mrembo au mtanashati? je? ni mitindo gani ya kuweka kichwani humpendezesha mtu? Tujuzane
Back
Top Bottom