Recent content by Adam Tibaigana

  1. Adam Tibaigana

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Nenda kaliakoo china plaza ram Gb 5 exteno Gb 64 inauzwa 340
  2. Adam Tibaigana

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Nunua Redmi 10C utanishukuru
  3. Adam Tibaigana

    JamiiForums Tanzania S 400 ya urusi na IRONE DOME ya Israel

    Ukisema hilo kanisa unajua askofu wao makao makuu ni misri
  4. Adam Tibaigana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujuzwa namna ya kuifunga simu iliyoibiwa; IMEI ninazo

    Samahani kwa wana It naomba msaada namna ya kuifunga simu iliyoibiwa imei ninazo na imail iliyoyokuwa inatumika kwenye ile simu
  5. Adam Tibaigana

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuliowahi kula mtungo na wanawake mliowahi liwa mtungo tupeane uzoefu

    hizo kamba miaka ya 90 mna simu duh
  6. Adam Tibaigana

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Kama bado upo nicheki
  7. Adam Tibaigana

    JamiiForums Tanzania Iran yaishikilia meli ya mafuta ya Korea Kusini, Marekani yatoa onyo

    Myahudi aliyepigwa na Hezbollah ndo mpige Iran bila msaada Myahudi aingie vita na Irani kweli wacha ushabiki kidunia Myahudi wa 18 Irani 14 wapi nawapi
  8. Adam Tibaigana

    JamiiForums Tanzania Kina dada wanaofanya biashara ya ngono, wanajiskiaje

    🤣🤣🤣🤣
  9. Adam Tibaigana

    JamiiForums Tanzania Watawala wa kike katika nchi za Kiislamu

    Kwa sasa nchi zinazoongozwa Kwa Sheria za kiislam mi Iran Azabaijan Brunei maleysia Somalia Yemeni Saudi Arabia Mauritania Pakistan Nigeria kaskazin saiv nao Wana utawala wa kiislam huko kaskazin hata mahakama huko wanatumia Sharia chechinia kama kuna nyingine mtaongeza
  10. Adam Tibaigana

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu nimetoa penzi kwa shemeji yangu bila kutongozwa, imeniuma sana

    Yaan najua inakuuma Ila fanya mitihani Kwanza Ila ujue yajayo utafurahia yaan na kama mlikuwa mnaheshimiana niandae maana wewe utakuwa kama mke wa pili wa jamaa usitegemee hayo yataishia hapo ndo Kwanza mchezo umeanza hata ufanye vipi kulikwepa hili hutoweza maana huna cha kumficha tena
  11. Adam Tibaigana

    JamiiForums Tanzania Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

    sasa Mzee mi natumia Xiaomi ina VPN kwenye setting yake Ila kuna vitu natakiwa kujaza sasa inanizengua naomba msaada
  12. Adam Tibaigana

    JamiiForums Tanzania Hawa dada zangu sijui kama wataolewa. Navyo waona hivi? Sijui.

    Mungu atamsimamia Ila ningeona picha yake tungeongea vizuri
  13. Adam Tibaigana

    JamiiForums Tanzania Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

    nilikuwa natumia Xiaomi 6A Ila saiv nimepata nyingine kubwa zaidi Xiaomi Pocco
Back
Top Bottom