S 400 ya urusi na IRONE DOME ya Israel

S 400 ya urusi na IRONE DOME ya Israel

Iron dome ufanisi wake ni kwa roketi za masafa mafupi.

Mwaka 2006 vita baina ya Hizbullah na Israel takribani roketi 4000 za masafa mafupi yalirushwa na Hizbullah na kuleta madhara makubwa Israel.

Mwaka 2000 na 2008 zaidi ya 4000 mortars na roketi 4000 zilirushwa kutokea Gaza kuelekea Israel ndiyo ikapelekea kuundwa Iron Dome ambayo range yake ni 70km.

Huwezi ukapima ufanisi wake kwa vikombora dhaifu vinavyorushwa na HAMAS. Ufanisi wake utapimwa kwenye vita kamili.

Kwa ufupi Iron Dome ni kwa ajili ya wanamgambo wa HAMAS na Hizbullah.

S-400 ni ya masafa marefu. Ina locate tageti kwa umbali wa km 600 na ikaiharibu kwa umbali wa km 400.

S-400 inapambana na tageti 72 kwa wakati mmoja na kutrack tageti 160 kwa wakati huo huo.

Inashambulia aina zote za aerial target ikijumuisha aircraft, ballistic na cruise missile kwa range ya km 400...... Nitaishia hapa!

Kwa ufupi S-400 ni kwa ajili ya silaha za kisasa tishio.

Ijapokuwa kazi zake ni tofauti ila S-400 ni bora zaidi ya Iron Dome.

Nawasubiri wayahudi wa tandale
 
Iron Dome ni bora sana mkuu, yaani HAMAS wamerusha zaidi ya kombora 1,500 lakini zote zimekuwa intercepted na Iron Dome,kilichoangukia Israel ni mabaki ya Rockets za HAMAS lakini si makombora yao
Yani ile mishumaa inayorushwa na Hamas ndio ya kujisifia kweli kuwa hio Iron Dome ni bora kuliko nyengine?
 
Mkiwa mnaongea msisahau kuwa Urusi ni israel pia. Urusi ina kanisa la orthodox pale kremlin. Kanisa la zamani sana lenye makao makuu israel..

Na kuna warusi wengi wenye asili ya israel
Mkuu thd inahusu kati ya S400 na Iron dome,hayo mambo ya dini yanatoka wapi? Halafu Jews sio wakristo,Israel wakrisho hawafiki hata 3% na wengi ni wageni.

Mkiwa mnaongea msisahau kuwa Urusi ni israel pia. Urusi ina kanisa la orthodox pale kremlin. Kanisa la zamani sana lenye makao makuu israel..

Na kuna warusi wengi wenye asili ya israel
 
S 400
S ni herufi ya 23 katika muundo wa alfabeti,Hii inamaana ya kuwa S 400,inaweza kufanya kazi tofauti 23 kwa wakati mmoja.
400 ni umbali ambao makombora yote yenye ukubwa kuanzia mpira wa gofu yanaweza kutunguliwa.Zaidi ya hilo,kuna umbali wa ziada wa km 250,katika umbali huu makombola ya adui hufanyiwa jamming,kuhakiwa au kuvurugwa mifimo yake bila kufunguliwa,sasa kombola likikoswa ndani ya kilomita hizo 250 za kwanza,ndo huja kutunguliwa ndani ya km 400 hizo nyingine.Kwa maana hii S 400 hufanya kazi ndani ya KM 650.Ndio maana S 400 ilipofungwa Siria kipindi flani,ilitengeneza "NO FLY ZONE" katika nchi tano zilizipo karibu na Siria ukijumlisha na Israel ( Hakuna kitu chochote ambacho kiliweza kuruka katika nchi hizo tano bila ya kufumuliwa)
Hii Iron Dome,inaonekana ni bora kwa sababu Israel inapigana na HAMAS( Kikundi kidogo tu) lakini kwenye vita kamili au vita na mataifa ya kibabe, Iron Dome haiwezi kuwa na ufanisi wa kutisha.
Maelezo ya kipambe zaidi
 
Mkiwa mnaongea msisahau kuwa Urusi ni israel pia. Urusi ina kanisa la orthodox pale kremlin. Kanisa la zamani sana lenye makao makuu israel..

Na kuna warusi wengi wenye asili ya israel
Ukisema hilo kanisa unajua askofu wao makao makuu ni misri
 
Mimi nadhani swala la ulinzi na usalama wa nchi ni swala siri ya vyombo husika kwa nchi husika.
Sio rahisi kwa nchi kuweka wazi kila kitu kuhusu security details zake. Hivyo naamini tunachoelezwa kuhusu ufanisi wa hizi teknolojia za kiusalama za nchi fulani ni sehem ndogo sana ya uhalisia wa teknolojia yenyewe, na pia inakua disclosed kwa kiwango ambacho hakitaathiri usalama wa nchi.
Hivyo kwa mtazamo wangu ni vigumu sana kuweza kuwa na mizania sahihi ya kupima ni security system ipi ni bora zaid ya nyingine katika mazingira kama haya.
 
S 400
S ni herufi ya 23 katika muundo wa alfabeti,Hii inamaana ya kuwa S 400,inaweza kufanya kazi tofauti 23 kwa wakati mmoja.
400 ni umbali ambao makombora yote yenye ukubwa kuanzia mpira wa gofu yanaweza kutunguliwa.Zaidi ya hilo,kuna umbali wa ziada wa km 250,katika umbali huu makombola ya adui hufanyiwa jamming,kuhakiwa au kuvurugwa mifimo yake bila kufunguliwa,sasa kombola likikoswa ndani ya kilomita hizo 250 za kwanza,ndo huja kutunguliwa ndani ya km 400 hizo nyingine.Kwa maana hii S 400 hufanya kazi ndani ya KM 650.Ndio maana S 400 ilipofungwa Siria kipindi flani,ilitengeneza "NO FLY ZONE" katika nchi tano zilizipo karibu na Siria ukijumlisha na Israel ( Hakuna kitu chochote ambacho kiliweza kuruka katika nchi hizo tano bila ya kufumuliwa)
Hii Iron Dome,inaonekana ni bora kwa sababu Israel inapigana na HAMAS( Kikundi kidogo tu) lakini kwenye vita kamili au vita na mataifa ya kibabe, Iron Dome haiwezi kuwa na ufanisi wa kutisha.
Special!

Thanks mkuu
 
Iron dome ni kwa ajili ya roketi za wanamgambo!

Huwezi kuiweka meza moja na S-400 inayopambana mpaka na air craft carrier, inapambana na UAV mfano US Boeing Eagle eye. Iron dome hizo kazi haifanyi!

Licha ya hivyo zinafanya kazi tofauti.
wa rusi hawana lolote wameuziwa hii tech. Na Israel.

Na waanzilishi wa hii tech ni wayahudi. Rusia wameiga.

Na hawa Israel wakiuza defence tech zao. Huwa wanakuwa na mbadala fiche.
Siku ukiwajaribu tu cha moto utakiona. Middle east ni mchezo mchafu uko pale.

Lengo ni wao wayahudi kutawala mpaka maeneo ya east africa mto Nile ulipoanzia.
 
Ngoja waje Mayahudi wa Nzega,watachangia kwa mahaba,ila kuifananisha S400 na Iron dome ni sawa na kuifananisha Barcelona na faru dume ya temeke,
S400 hata mataifa makubwa yanaiogopa.
Faru dume ipo vingungut Mnama
 
wa rusi hawana lolote wameuziwa hii tech. Na Israel.

Na waanzilishi wa hii tech ni wayahudi. Rusia wameiga.

Na hawa Israel wakiuza defence tech zao. Huwa wanakuwa na mbadala fiche.
Siku ukiwajaribu tu cha moto utakiona. Middle east ni mchezo mchafu uko pale.

Lengo ni wao wayahudi kutawala mpaka maeneo ya east africa mto Nile ulipoanzia.

Na waanzilishi wa hii tech ni wayahudi. Rusia wameiga👉🏽Toa ushahidi wa hiki, na sio kupotosha!
 
Yaani hata mazingira tu yanaonyesha hivo walikuwa wanashambuliwa mnoo
Kwanza wakajenga ukuta mrefu lkn bado.... ndo ikaja hii.

Sasa wana arrows interceptors sophiscated weapons yaani haya mabomu yana mambo mawili makubwa;

Mosi linaongezea kombora la adui speed mara dufu ivo laweza pitiliza nchi ya israel na kugonga target yake kwa nchi rafiki wa adui.

Pili.yana uwezo wa kuingilia speed ya bomu lolote hata kabla halijaanza safari ya kulipukia kwa adui yao mlengwa kwa kutumia corona satelittes za israel. Yaani linakulipukia wewe mdunguaji.

Na hili linakuwa connected Vissonary survaillance satellites za wayahudi.Kila unachofanya wafuasu na kiongozi wa hezbollah!

lkn pia israel wana universal classic indivisible balloon cameras.

hii yaweza kupiga picha ardhini yenye ukubwa wa sindano ya kushonea nguo.

Wana-monitor kila kitu Usiku na mchana hawalali hawa jamaa tangu kuundwa kwa bomu hilo mpaka wahusika wa vikao vyao walivyo kaa.

then siku wakija wanawapa taarifa kabisaa kuwa wanakuja kupiga hapo ondokeni kwa usalama wenu Km ule mjengo ulivoshuka juzijuzi mliona al-jaazeera huko....richa ya hiyo

Wanazaliana ndani ya maadui zao humo. mwana anakuwa anajuwa kisiri siri ni Myahudi.na adui yake ni muarabu.

Iran.syria robo ya wajeda wa ngazi za juu wote ni wayahudi wa damu.
Mahamud abbas. Na King Abdulah ni mayahudi haswaaaa! kwa Mama. km ni hivi....

watafanya nini hao waarabu? Sasa wanakuja uganda na wameshaanza kuzaana machotara kule wanachotaka ni kukamata ardhi ya taifa la israel. Iliyopo kati ya mito miwili hii...

Km hujui zile blue mbili Kwa bendera yao ni symbol ya mito miwili ya mto Tigris na Nile river na

katikati ya mito hiyo ndo taifa au ardhi bin nchi ya ahadi ya israel ilipo yaani waliyoaidiwa na mungu wao ikiwemo Tanzania yaani Eac.zote!!

Hizi zote zinatakiwa ziwe chini ya Mamlaka ya ki-zion naam! yahudi.

palestina wataungana nao hao wa Israel baadaye huko.lengo ni kunyakua ardhi zaidi kwa nchi yao ya ahadi zoezi hili ni kuelekea Nile river.

tayari Saudia.yemen.jordan nk wameungana nao ....na hii itabaki kuwa ushahidi siku na miaka zijazo subiri.....
 
Maelezo meengi hayana facts wala evidence.

Wayahudi mnawaona watu wema sana, lakini tambua kuwa hawaukubali ukristo na yesu hawamtambui pia. Na wakristo walioko israel hawafiki asilimia 3.

Sikiliza wanachoulizwa kuhusu yesu

Mkiwa mnaongea msisahau kuwa Urusi ni israel pia. Urusi ina kanisa la orthodox pale kremlin. Kanisa la zamani sana lenye makao makuu israel..

Na kuna warusi wengi wenye asili ya israel
Orthodox makanisa yake yamejaa huko Palestina, na nchi zote za middle East. Hata Africa mataifa makongwe Kama Egpty na Ethiopia makanisa yao ni Orthodox.

Hivyo hakuna mahusiano baina ya orthodox na Israel.

Pia mujifunze kutofautisha jews na Israel,
Kuna ma jews kibao wapo Against Israel, Israel ni mazayuni kundi ambalo lipo ndani ya Uyahudi, ila si mayahudi wote ni Israel.

Mataifa yote yanayompiga Israel hupata Msaada toka kwa Warusi, mfano vita ya 1973 baina ya Egpty na Israel ni Mrusi aliemsaidia Egpty, na Hata wanamgambo wa Hezbollah na Syria tu najua wapi wa napata msaada.

Hivyo ingekuwa Mrusi ni ally wa Israel asingesaidia kumpiga.
 
Back
Top Bottom