Recent content by Adam Pius

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ulipokuwa unasoma(chuo au A level) ulifaulu kwa njia ipi?

    Mi naibia tu mwanzo mwisho kuanzia LA kwanza mpaka master [emoji2] [emoji2] sijawah fikisha SAA tata usiku ingwa nilikuwa pcm ,nyie kesheni tuu kama wachawi
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukipika mchele unajaza sufuria?

    Maisha magumu wenyewe unajua kwa hyo unakusaidia upate NA kipole asubuhi NA mapema by mswati
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nimefika Morogoro aise kuna madem sana huu mkoa

    Hapo Moro tu ungeenda tanga je sijui ungesemane
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kwa fashion hii ya miaka ya iliyopita unaonaje ikarejea tena?

    Mhh huu upotezaji wa fedha kitambaa cha suruali tatu wao wanashona suruali noja , haiezi kurudi
  5. A

    JamiiForums Tanzania Dua zenu kesho naenda kupima HIV kwa Mara ya kwanza

    Kupima sio sana NA haina ya dua ,ww sema naomba dua ya kusubiri majibu ndo kaz , ni nilipima Mara sabini NA sijachukua majibu hata Mara moja[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  6. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa namna ya Kutongoza Mwanamke

    We haina haja we tafuta Pesa kuwa NA elfu za kutosha kenye mfuko ,then chagua demu unaemtaka then jifanye unaziangusha Pesa halafu ziokote sawa then mwambie nakupenda hao hachomoki ,lakin bila ya Pesa utappteza muda wa kujifunza tu mpaka basi then unaambulia kibao
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nape tuambie mbinu mlizotumia kuiba kura 2015

    Hahaha
  8. A

    JamiiForums Tanzania Huu ulinzi wa Gwajima vipi?

    Hata ww ukiwa NA Pesa utalindwa mchawi Pesa
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya uvamizi Clouds hadharani: Makonda alitishia kuwaingiza kwenye skendo ya dawa za kulevya

    Mhmhmh hapa kuna MTU atarudi kijijni
  10. A

    JamiiForums Tanzania Tukutane wote wenye vyeti origino hapa

    Hh kumbe umeishia form four ,
  11. A

    JamiiForums Tanzania Halotel huu si uungwana kupunguza vifurushi vya internet

    Jaman nawashauri kama vijana wenzangu ukitaka kubana matumizi ya internet nenden AIRTEL ss HV un zinapatkana ppte hao wengne tamaa tu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Waacheni waliofukuzwa CCM waje CHADEMA

    Ccm NA chadema kama simba NA yanga mchezaji akiachwa huku kule anapata namba mambo yanaenda mhhh nchi hii
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Waacheni waliofukuzwa CCM waje CHADEMA

    Ccm NA chadema kama simba NA yanga mchezaji akiachwa huku kule anapata namba mambo yanaenda
  14. A

    JamiiForums Tanzania Breaking News

    Tukio linajulikana Si walitaka nyara , umekosea hapo
  15. A

    JamiiForums Tanzania ITV mmewakosea sana watanzania

    Kwan lazma kumuonesha lema kwenye TV wangap wanafungwa jela miaka mingi NA wakitoka hawaoneshwi kwenye kideo yy kaka miezi minne kilele kibao
Back
Top Bottom