Mbowe: Waacheni waliofukuzwa CCM waje CHADEMA

Mbowe: Waacheni waliofukuzwa CCM waje CHADEMA

Sasa demu yupo bomba kinyama unamuacha kisa amekusaliti Sasa ameamua kuolewa na yule bwana aliekuwa anakuibia ili asuuze roho yake mapovu yanaanza kukutoka ati ooh yule mwanamke mchafu! Kwako mchafu ngoja wenzio tumpoposoe na kumgegeda hadi roho ikuume sheinzi yako! We umeoa kitu kikali badala ya kumtumia vizur kwa kumpa haki zake ikiwemo kuthamini mawazo yake unamdharau kwa kutumika kwa michepuka ( zzk, prof lipuu) na kumwacha mkeo akihangaika sasa amekutana na Mzee wa kazi Cdm ameanza kumthamini na kumsikiliza akiwa hukohuko kwako Sasa umejua kumbe unaibiwa umeamua kumpiga chini nae kaamua kwenda kwa yule bwana badala utulize boli unaanza kumsema kuwa ni mchafu wewe usafi wako uko wapi mbona mkeo matumiz hujampa lakini mchepuko prof lipumbe ananenepeana?
 
Mbona mnakuwa akili za kondoo kwani akina machali hawakuwa upinzani mbona wamepokelewa na Chama uchwara atujaongea
 
Mbona mnakuwa akili za kondoo kwani akina machali hawakuwa upinzani mbona wamepokelewa na Chama uchwara atujaongea
Machali naye amefukuzwa upinzani kwa usaliti na ufisadi kama Sophia??

Ili upokelewe ccm lzm CV yako ipekuliwe kweli kweli
 
CHADEMA ni kama dampo, linakusanya kila aina ya uchafu.
machali arfi shonza mwampamba kwani walitimuliwa chadema mbona wakaenda ccm???? hao wametimuliwa coz ya kusimamia walichokiamini sio kwa ufisadi au ujambazi ssa kosa ni lipi kma chadema itawachukua???
 
Machali naye amefukuzwa upinzani kwa usaliti na ufisadi kama Sophia??

Ili upokelewe ccm lzm CV yako ipekuliwe kweli kweli
duh kumbe sofia katimuliwa coz ya ufisadi??? aseeee kwahyo miaka yote yuko UWT sio fisadi ila alipoingia team lowasa ndo kawa fisadi???
 
Ndiyo ni watu lakini je ni watu wenye lengo moja au kila MTU yuko kinyume na wanachama wezake Siku zote chama ili kisimame lazima unit iwepo
wao waliamini mabadiliko na mtu waliyeamini ni sahihi ndio amehamia chadema ssa huoni kuna common interest bado kati yetu na hao waliofukuzwa??
 
Ccm NA chadema kama simba NA yanga mchezaji akiachwa huku kule anapata namba mambo yanaenda
 
Ccm NA chadema kama simba NA yanga mchezaji akiachwa huku kule anapata namba mambo yanaenda mhhh nchi hii
 
Bada yakuenda kinyume na taratibu na kanuni za chama ndo ndo wakawa wameingia DOA at a paka uhazibiwa pale anapo kunya tunaposema chadema nikama shimo lakutupia taka atukosei
msizunguke kesi yao ni kwasababu walimsupport lowasa katika kila hatua basi hamna shida na ni haki yenu kuwafukuza ila msiwazuie kujiunga na chama kingine maana kma hawakuiba pesa zenu bas sioni kma wana kandokando za kuwazuia kufanya kazi upinzani
 
Huyu mh ana muongozo mzuri katika kuongeza idadi ya wanachama wake. Ila watakao jiunga wapewe semina ilekeze za kujua mwenendo wa chama. Hasa katika eneo la ujenzi wa ofisi za makao makuu ya chama, kuwa ofisi hizi zinajengwa kwenye fikra na akili zao majemgo hayana maana yeyote.


Na washawasha!
 
Tangiapo hao walikuwa CDM kiroho, kimwili walikuwa ccm. Warudi tu kwa The Don wao.
 
Nashanga sana kwaiyo chadema imekua jalala la kutupia taka !!!!!!!
Mkuu siyovizuri kuita binadamu mwenzio takataka. Halafu kwa kila chama cha siasa kuwa imara, kinahitaji wingi wa wanachama. So kamanda Mbowe is right sir.
 
Dah!!! Hiyo kweli ni CDM ya miaka ileeeeee!!! au mleta uzi ni Ccm, hata hivyo sishangai kama walimpokea EL yawezekana ikawa hivo, sasa mtu kama S. Simba ataleta nini cha ziada ndani ya chama, CDM tunataka watu wapya wenye mawazo mbadala!!!
Mi nilidhani CDM hakihitaji watu wenye mawazo mbadala, kwasababu tayari chama kina watu makini wakuleta mabadiliko. Badala yake nadhani Chama kinahitaji maongezeko ya wanachama wazoefu ili waje kukutana na waliopo wasongeshe mbele mabadilik😵thewise dhana nzima ya Upinzani na kutaka kuongoza nchi itakuwa negative perspective.
 
Back
Top Bottom