API Gravity
JF-Expert Member
- Mar 15, 2016
- 658
- 765
Si alikuwa anahutubia wananchi wake Arusha, mnalilia ITV ya nini? Acheni kutaka sifa za kijinga kupitia gereza
Chadema mnapenda lalamikaWalianza tangu juz kweny msiba wa mam ake jk, mtangazaji aliwataja viongoz wote walo udhuria excpet MBOWE! shame on them
Uko sahihi, kuna unafiki mwingi nchini,ITV itapita itakufa, ila haki itadumu milele.
KAma humpendi Raisi wako hama nchi siyo kila mtu akubaliane na akili zenu...Wajinga kama ww ndo vipenzi vya sizonje na serekl yake