Recent content by Adam john mbonile

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hiyo kulipwa lazima uwe na check number, labda wao walipata mapema check number
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ukifika tuu inatakiwa muiandikie barua ya kulipwa hiyo pesa ya kujikimu .
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    App ndioo kitu gani hicho au ndioo ajira portal
  4. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ebu tangazeni ajira za maana

    Subiria 2030 utapata unazo zitaka
  5. A

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu kujitolea kazi ya kujitolea

    Progress report ya matokeo yako Hadi semester ya Tano
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    😀😀katavi halmashauri gani ?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nimerudi tena kuomba kazi

    Kwanini umetoka nduki ajira portal ndugu yetu?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Itabaki hivyo hivyo selected for oral,pia ni vyema kuendelea kufanya usaili wa post mbalimbali za kada yako Ili kujiongezea WiGo mkubwa wa kupangiwa kituo Cha kazi,maana mtu unaweza kuwa ulifika oral lakini hukupata zile marks za kuwekwa kwenye database au unapata marks za kuwepo kwenye database...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Inategemeana ,kama Mimi nilifanya oral 5/04/2025 na nika fanyiwa placement 17/05/2025, nikuomba mungu tu ndugu zangu ,all most mwezi huooo
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mnavyo sema web na application status, ndioo mna maana gani hapo kwenye web ?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ina chukua three weeks or one month,or sometimes can take one year kulingana na nafasi zilizopo au kulingana na pass mark yako ndioo itaamua uwe placed kwa muda gani boss,ila usijali utapangiwa kituo Cha kazi tu, endelea kuomba Mungu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ni lini utumishi wataita watu waliofanya oral za MDAs & LGAs

    Placed zishafanyika kuanzia 3/05/2025 ,vip umekwisha kula asali ndugu yetu.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Usijali hata kaka utapata tu kazi ,shuhuda Mimi mwenyewe niliingia written nane za PSRS lakini zote mikando ,lakini ya Tisa Mungu akasaidia nikaenda oral na hapo Mungu akanipa kibari nikaingia kwenye utumishi wa umma kaka.kikubwa kuomba na kumtanguliza MUNGU tu na kutia juhudi kwenye kujiandaa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: hakikisha una mganga mzuri kabla ujaenda oral interview yeyote ya utumishi

    Sioo kweli kaka ,ila Kila mmoja na Imani yake ,ety bila mganga hutoboi oral utumishi ,mtegemeeni Mungu tu ndioo Kila kitu na wakati wako ukifika unapata kazi vizuri tu ,ushuhuda ni Mimi mwenyewe Sina mtu ninae mjua serikalini Wala kwenda kwa mganga ,ila nilimtumaini Mungu na kusoma vizuri bhasi...
Back
Top Bottom