Recent content by adam aman

  1. A

    JamiiForums Tanzania Special thread: Viwanda vilivyojengwa kwenye Awamu ya Serikali ya Viwanda

    Gamenti za kina mama kibao
  2. A

    JamiiForums Tanzania Zitto: Thamani ya Tshs dhidi ya Dola inazidi kuserereka. Leo $1=Tshs 2235 Nini Kinaendelea?

    Shwang wing zungi maana yake mtaisoma namba
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kikwete Mzee, popote ulipo pokea Shikamoo yangu

    Mtamkumbuka milele na milele jakaya oyeeeee
  4. A

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Wabunge 10: Jicho la kisheria

    Dah! Mkuu nimekuelewa saaana sasa nikuulize jee Raisi akiamua kuwateua wabunge wa tano tu na wote ni wanaume au wanawake asimalize nafasi zote kumi anakua amevunja katiba au silazima kumaliza nafasi zote naomba kufahamu hili
  5. A

    JamiiForums Tanzania Aboutrika aorodheshwa kwenye list ya magaidi nchi Misri

    Ukiwa muislamu unaitwa gaidi kwahiyo hadi sasa hivi kuna zaidi ya magaidi bilioni mbili na ushehe hivi hawa wote hawa mtawafanyaje ni wengi si waume si wake si watoto
  6. A

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Nitajiuzulu Ubunge kama Serikali itanionyesha tani milioni 1.5 za Mahindi

    Zitto tunakuamini tunaomba uendelee hivyo hivyo karibia kitaeleweka
  7. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Magazeti yanayoandika kuna njaa yamenunuliwa na wanasiasa na wafanyabiashara

    Hakuna njaa hakuna zika nchini tuchape kazi
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako, CHADEMA hawana muda wa kukuchafua, Mungu ameamua kuanika tabia yako

    Lusekelo sema yalioandikwa kwenye bibilia ukisoma bibilia nzima hauwezi kuta neno chadema we tuachie chadema yetu
  9. A

    JamiiForums Tanzania Trafiki waanza rasmi kukamata magari yote yenye taa za urembo, Sports Light

    Dah.nashindwa kubisha pia nashindwa kukubali .lazima ntaijaribu nione
  10. A

    JamiiForums Tanzania Rais aagiza kupokonywa kwa Mihuri kwa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa Nchi nzima

    Anambwembwe kama za yanaga na azam
  11. A

    JamiiForums Tanzania Msaada Simu yangu Inatatizo la kushuka mnara

    Waulize T.C.R.A
  12. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa huko Ulaya ni mwanafunzi, mwajiriwa au ni mfanyabiashara?

    Kapumzika
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu aliumba mbingu na dunia, sayari nyingine je?

    Mwenyezi mungu kaumba vingi tuvijuavyo na tusivyo vijua
  14. A

    JamiiForums Tanzania Tunaomba kutangaziwa mapato ya TRA mwezi Disemba 2016 tafadhali

    Hali ya mapato ni kama mvua za mwaka huu
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Malawi aapa kulinda Ziwa Malawi

    Zipigwe tu hamna namna
Back
Top Bottom