Msaada Simu yangu Inatatizo la kushuka mnara

BEDUI Jr

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
2,041
2,844
Habari wana Jf
Simu yangu HUAWEI Y520-U22 Inatatizo la kushuka mnara mara kwa mara kwa anaejua anisadie nifanyaje
 
Mtandao upo full
# jaribu kuireset cm, kama itakuwa bado inasumbua itakuwa ni tatizo la kiufundi, kwa nyuma ukitoa ufuniko kuna vibat fulan ambavyo vimewekewa rang nyeuc ivyo ndo vnavyo fanyakaz za kupandsha net but kama vki disconet katka sehemu yake maalumu hutokea tatzo kama ila so kama kuna mtaalamu mwambie akurekebishie
 
Back
Top Bottom