Recent content by actus

  1. A

    Huyu ndiye Sophia Simba, mtoto wa Ilala

    eti anasema mzee kondo alikua boyfriend wake.anafahamu maana ya boyfriend au?aseme mzee Kondo ni manfriend wake a.k.a Kidumu chake tulizanaaaaa
  2. A

    CHADEMA wamfungulia kesi Nape

    mmmmh huo ulikua upepo tu na umeishapita,sasa hivi tunasoma report za kukinzana za mauaji ya Daudi Mwangosi(ambayo nayo upepo tu utapita)walau upepo kwa sasa unavuma kwa "kukojolewa quran"na uchomaji makanisa na mauaji ya barlo.
  3. A

    Tamasha la Fiesta: RC Dodoma apokelewa kwa vidole viwili!

    yani wewe unasubiri sehemu inayokataza na kuzuia jambo fulani ndio na wewe utafuata maelekezo???
  4. A

    Picha - Nakala zailizosababisha Mwanahalisi kufungiwa

    unafahamu maana ya kilaza?kama ndio kuna uhusiano wowote na kubenea kufa njaa.yani unadhani anaishi kwa kuuza gazeti la Mwahalisi?
  5. A

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    yani wangechelewa kulifungia wiki hii ya jumatano ilikua inakuja na habari yote ya Dk Ulimboka mmh
  6. A

    Tundu Lissu: Madaktari hawakupaswa kufukuzwa kabla ya kujitetea kwa mujibu wa sheria

    right to be heard?lissu anaseme hawakusikilizwa hao madaktari.?yani mwanasheria huyo anasahau kua madaktari were given not only right to be heard but also an adequate oportunity.kama anakumbuka Mwakyembe wakati anatoa report ya Richmond pia alilalamikiwa na Lowasa kua hakumpa nafasi ya...
  7. A

    Now this is whats uppp

    aisee kweli JF mnapelekea watu wawe wabunifu mbona hii fasta nimecopy na kupest itafanyiwa kazi
  8. A

    Msamba...

    hapo umeeleweka maana kweli ilikua utata dereva atasimamisha? very vague.
  9. A

    Kwa nini wasichana wanatoa mimba ?

    duh aisee yani mkuu hapa huwezi kupata jibu la swali lako(kwa nini wasichana wanatoa mimba)maana wasichana wa humu jf amabao wamesoma uzi wako wanajua sababu kwa nini wao walitoa mimba.any way naona hiyo picha inaonesha jinsi wanavyochoropoa mimba ila sio sababu za wao kuchoropoa mimba.subiri...
  10. A

    STJ 974 Iko cocobeach imeleta wanakwaya kurekodi video

    watakua wanarekodi ile move ya kova nyingine si aliambiwa na sugu kua arudi studio?ngoja tusubili labda itaeleweka
  11. A

    Hukumu ambayo haijawahi kutokea

    hiyo ni amri na sio hukumu.ok anaweza kua amekosea kutype neno plaint na kutype plant that is sleep of the key board.kukosea hilo neno hakuwezi kumfanya aonekane kilaza.ameliandika saaana tangu yuko chuo.kimsingi hao majaji wanaotaka legal paper(karatasi za kijani) wanakeera kwani in practice...
  12. A

    Bungeni Live: Naibu spika akataa hoja ya Lissu kuzungumzia kuzama kwa meli

    yani wamekataa hoja ya lissu ya kujadili janga la meli kwa technicalities eti hakuiwasilisha kama kanuni za bunge zinavyotaka.Job anamtetea mwanasheria mkuu wa serikali eti hakusema maneno ya maudhi, CDM,CUF ndo naona wametoka
  13. A

    Bunge limeahirishwa kutoka na ajali ya Mv Skagit

    eeeh kweli hata mie tbccm wamenipotosha mie nikadhani bi kiroboto amekubali hoja ya nchimbi kuhairisha bunge kutokana na kuzama kwa meli kumbe alishaikataa hoja hiyo baada ya kutolewa na Rashidi?aisee
  14. A

    Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

    ngoja tuunde tume huru itakayo ongozwa na mkaguzi mkuu wa mahesabu ya serikali kuona hiyo mia iko wapi
  15. A

    Ndege ya ATCL Yapasuka Kioo; yazuiwa kuruka KIA

    ngoja tuunde tume huru ambayo itakua ikiongozwa na Mwakyembe kufuatilia hili.
Back
Top Bottom