Picha - Nakala zailizosababisha Mwanahalisi kufungiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha - Nakala zailizosababisha Mwanahalisi kufungiwa

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Aug 1, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Hizi ndizo nakala ambazo zimesababisha serikali kuchukua hatua za kulifungia Mwanahalisi. Serikali ina sababu zake, na vyombo vya habari vinalalamikia ukali wa sheria. Kwamba uongozi wa Mwanahalisi haujaitwa kujitetea kabla ya kufungia je ni hoja nzito?
   
 2. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,096
  Likes Received: 1,714
  Trophy Points: 280
  Serikali inakimbia kivuli chake! Huwezi kuzuia mvua!
   
 3. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kilaza kubenea sasa atakufa na njaa
   
 4. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  HAdi wewe unaongea upuuzi!!? duuh kazi ipo!
   
 5. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  He kumbe.
   
 6. Tisha-TOTO

  Tisha-TOTO JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 1,173
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  We d.e.m.u vipi? Shujaa hufa kwa risasi, siyo njaa!
   
 7. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ukweli hii serikali ya ccm sijui kama itamaliza kipindi chake manake manake wanatuona wananchi kama makatuni hivi.
   
 8. C

  CHIJANYE JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 344
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  serikali dhaifu hifanya maamzi ya kijinga na dhaifu na hupenda uficho na kujifungua na pia mwanahalisi itaendelea kuishi siyo sawa na uhuru ilokufa zamani.na.haina.mvuto kubenea anzisha onlone.mwanahalisi.sisi.tutaendelea.kusoma. you can fool people for sometime.not all the tim
   
 9. mapanga3

  mapanga3 JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 180
  Kazi kweli kweli! mambwo magumu sana lkn sikuzote si jumatatu
   
 10. BongoLogik

  BongoLogik JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kilaza ni wewe usiyejua investigative journalism
   
 11. a

  actus Senior Member

  #11
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 7, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unafahamu maana ya kilaza?kama ndio kuna uhusiano wowote na kubenea kufa njaa.yani unadhani anaishi kwa kuuza gazeti la Mwahalisi?
   
 12. M

  Mboko JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,067
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kawaida mtu/shirika/serikali ikishikwa pabaya matokeo yake ndio hayo jamaa wa gazeti la Mwanahalisi walisema kile ambacho kiko wazi/ukweli kuhusu Dr Ulimboka alivyotekwa yaani hii serikali ya vilaza kweli kweli nasema vilaza kwa kuwa wanavunja sheria kiholela day after day so kwa nini kama walishikwa pabaya wasiende Mahakamani ambako huko tunafahamu ndiko kwenye sheria??Nani aliyeko juu ya sheria kwa nchi hii serikli ya CCM watambue haya yana mwisho na wote hawa lazima kuwaburuza koti 2015
   
 13. m

  mathew2 JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 463
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45
  Bila shaka wewe ndo KILAZA mwenyewe. Kumbe shida ni pa-kula tu? Shame on you
   
 14. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Aliyoyaandika Kubenea hata mtoto wangu wa miaka 2 anajua ni kweli sasa akina PINDA wanaweweseka nini?
   
 15. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  jiwe life njaa,naanza kusikia kwako.
   
 16. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  hawa jamaa walitaka kufanya nchi iwe unstable .. bora walivyo wastukia mapema ... uhuru wa vyombo vya habari wanautumia vibaya mno.. wanabahati Dr. JK ni mvumilivu .. enzi za mzee mkapa lingeshafungiwa kitambo
   
 17. KABAVAKO

  KABAVAKO JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwanahalisi ilizidi kuzua majungu na uzushi. Nadhani serikali imechukua hatua muafaka kwani unaposoma mwanahalisi unaweza kuhisi kuwa tutaingia vitani leo hii. Hii ndio sababu mtu mmoja ameandika serikali hii haitomaliza muda wake kitu ambacho sio kweli. Hii ni nchi ya kidemokrasia na serikali hii ni halali itaendelea kuwepo madarakani mpaka muda wake utakapo kwisha kikatiba sio kimajungu.
   
 18. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,025
  Likes Received: 8,512
  Trophy Points: 280
  Dah..naona kim amehit target
   
 19. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #19
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,603
  Trophy Points: 280
  Hivi liwalo na liwe yupo?amekuwa mpole sana baada ya lile tamko simsikii kabisa au anajisikia vibaya kwa unyama namna ile kwa mtu asiye na hatia ??katubu kanisani damu ya Uli itasimama nawe milele!!!!
   
 20. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #20
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Fungia fungia magazeti ya kibwegebwege yote na bado rai na wenzie wote lazima displini iwepo mnabwabwaja tu hata yasiyobwabwajika tubakie na magazeti yetu uhuru na mzalendo na ya udaku baaS
   
Loading...