Recent content by Ack

  1. Ack

    Madereva wa mijini hasa Dar (kwenye lami) vs madereva wa mikoani (rough road )

    Kuna watu hujiita ni madereva na wapo hapa mjini kweli kwa mjini wanatesa sana na wanaendesha vizuri na control wanayo, Lakini ukija kwenye madereva wa mikoani hasa wale wanaotumia barabara za rough kiukweli wana uzoefu mkubwa mno i mean next level, hii n kutokana na changamoto wanazokutana...
  2. Ack

    Yanga bingwa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC

    Yanga wameibuka kuwa mabingwa wa mombe la mapinduzi 2021 baada ya kuwapiga simba kwa mikwaju ya penati ambapo yanga kashinda 4 kwa tatu angalia mikwaju ya penati ilivyopigwa. Yanga...
  3. Ack

    Uchaguzi: Uganda magari ya jeshi yasambazwa mtaani

    Huku harakati za uchaguzi zikiendelea majeshi ya uganda na magari yao wameonekana wakipita mitaani leo kama wanaenda vitani kwa nini majeshi huhusishwa na siasa kweli ni sahihi??
  4. Ack

    Mambo yameiva: Jinsi Irani walivyoteka meli ya mafuta ya uingereza

    Jinsi Irani walivyoteka meli ya mafuta ya uingereza, mambo yameiva https://youtu.be/mbuRGf5cfNM
  5. Ack

    Jinsi ndege ya Ethiopia ilivyoanguka B737 max 8

    Hii video inaonyesha namna ndege ya Ethiopia ilivyoanguka, It is Just Simulation not Exactly
  6. Ack

    AINA HII YA MTEGO NADHANI WENGI HATUKUFANYA UTOTONI

    Inawezekana umefanya utundu mwingi sana lakini sidhani kama na hii ulifanya.
  7. Ack

    Huu ndo ulinzi wa Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan

    Raisi wa uturuki Recep Tayyip Erdogan Ni Moja ya maraisi 10 wenye ulinzi mkali Duniani
  8. Ack

    Nitakapopewa maelezo ya kutokesha ntaenda kutoa mahali

    Wana JF wenzangu habari zenu! Mimi naja mbele yenu kuomba maelezo ya kutosha na yenye mantiki Je ni kwa nini wanaume ndo tutoke mahali na sio mwanamke atoe kwa mwanaume?? Hii ni kwa maisha ya wengi hapa duniani, kuna mama nilmuuliza akasema mama wa mtoto yeye amehangaika sana kwenda leba...
  9. Ack

    Nadhani huyu anaweza kuwa mshindani wa Harmonize

    Kiukwel nimesikiliza wimbo huu na nyingne za huyu jamaa "Apoly" ana tungo nzuri saana nadhani akipata management nzuri n mwiba
  10. Ack

    Hii inanigusa sana kutoka moyoni, sijui wewe ni ipi

    Kwa kawaida wimbo mzuri ni ule ambao huburudisha nafsi yako, na sio fulani akiupenda lazima na mimi niupende, mfano kuna mtu anapenda nyimbo ya U.S kwa sababu fulani anaipenda au anaona kupenda nyimbo za ulaya ndo ujanja, Kila binadamu na hata wanyama kuna vitu hupenda kulidhisha nafsi yao...
  11. Ack

  12. Ack

  13. Ack

  14. Ack

  15. Ack

Back
Top Bottom