Nitakapopewa maelezo ya kutokesha ntaenda kutoa mahali

Ack

Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
88
Reaction score
87
Wana JF wenzangu habari zenu!

Mimi naja mbele yenu kuomba maelezo ya kutosha na yenye mantiki Je ni kwa nini wanaume ndo tutoke mahali na sio mwanamke atoe kwa mwanaume??

Hii ni kwa maisha ya wengi hapa duniani, kuna mama nilmuuliza akasema mama wa mtoto yeye amehangaika sana kwenda leba kwan mama wa mwanaume yeye hakwenda leba??

Pendekezo:
Mahali inatakiwa iwe inatolewa na familia zote mbili kuwapa watoto wao kuonyesha wamekubali watoto wao wawe kitu kimoja na kuwawezesha waanze maisha yao mazuri, hata kama watachangia elfu 5000 tu. Sio unalipa 5,000,000 harafu ukishaoana munaenda kula tembele kila sku mwishowe ndoa kwisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anza kuomba ufafanuz kwa mzee wako kwanza kwa nini alimtolea mahali mama yako
 
Mkuu ni utamaduni tuu, na hauna faida yyte zaid ya kuhamasisha matumizi mabaya ya mfumo dume....ko katoe mahari..kama umepungukiwa sema tukuchangie..watanzania wote ni ndug
 
Hii lugha ni ya kikuda kweli,,... mtu anaandika kiswahili, but bado haeleweki..
 
Back
Top Bottom