AINA HII YA MTEGO NADHANI WENGI HATUKUFANYA UTOTONI

Ack

Member
Dec 21, 2016
88
87
Inawezekana umefanya utundu mwingi sana lakini sidhani kama na hii ulifanya.
 
Watu tulikuwa na mitego ya vijiti na kitanzi tu Basi na tulikamata ndege wa kila Aina hata Karungu yeye waliwahi nasa kwenye mitego yetu.
Huo wa jamaa una mlolongo mrefu na unapoteza muda tu
 
Back
Top Bottom