Recent content by achengula

  1. achengula

    App ya Ufugaji wa mifugo mbalimbali

    App inapatikana google play store kwa jina la Ufugaji au ipakue kupitia kiunganishi hiki https://play.google.com/store/apps/details?id=ifugaji.app.tanzania.kilimo Au nenda moja kwa moja kwenye Tovuti ya Ufugaji kupitia kiunganishi hiki hapa chini (no title)
  2. achengula

    Nataka kununua simu budget 650000 mpaka 700000

    Hivi battery za aina hii kwa s5 ya kawaida zipo (ambayo siyo min) zenye uwezo wa kukaa na charge 3 days?
  3. achengula

    Msaada: Nawezaje kuedit maneno kwenye hii doc?

    Ni kweli hata word inwezekana,
  4. achengula

    Msaada: Nawezaje kuedit maneno kwenye hii doc?

    Kwangu kutumi word yalikuwa yanagoma
  5. achengula

    Msaada: Nawezaje kuedit maneno kwenye hii doc?

    Nashukuru wakuu nilifanikiwa kuya edit kwa kutumia powerpoint
  6. achengula

    Msaada: Nawezaje kuedit maneno kwenye hii doc?

    Wana Jf, naombeni msaada nime attach hapa word doc kuna maneno nataka kuyaedit yananishinda, naeditije na je ni software gani imetumika kutengeneza hayo maneno. Natanguliza shukrani.
  7. achengula

    Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

    Mkuu kati ya hizo ipi iko poa na unaanza kuweka kwa kiasi gani kama kima cha chini?
  8. achengula

    Nini maana ya haya maneno.. Android is upgrading.... Optmizing app

    Nashukuru mkuu utakuja, bado sijajua kama hizi hatua zitaondoa pia tatizo la simu kupata joto. Asante
  9. achengula

    Nini maana ya haya maneno.. Android is upgrading.... Optmizing app

    Nina Sony Experia Z inatatizo kama hilo, sikumbuki nini kilisababisha. Nahisi kati baada ya kubsdili display au baada ya ku upgrade kwenda lolipop. Nimejaribu kuidowngrade wapi. Nikiwa natumia inaoata moto kisha inajizima. Ukiiwasha ina onyesha adroid is upgrading baadaye ina optimize apps...
  10. achengula

    Whatssap kwa computer sasa bila bluestack

    Hakuleta maelezo yalikaaa sawa, sasa nimekupata
  11. achengula

    Whatssap kwa computer sasa bila bluestack

    Hii ya kuscan code ilikuwepo tangu zamani. Sijui kama kunajipya wameweka, shifa kwangu ilikuwa kila ukizima simi ukiwasha lazima uscan code. Na kudcan inachukua muda. Labda kama wamerahisisha. Wangefanya kama Teregram ningeona wamefanya big up
  12. achengula

    Telegram ni bora kushinda Whatsapp Mara kumi

    Wakuu endeleni kuweka Link nzuri za channel za Teregram
  13. achengula

    Telegram ni bora kushinda Whatsapp Mara kumi

    Nilikuwa sijui channel zinakuwaje na najiungage. Huu uzi umenifumbua vema.
  14. achengula

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Hapa lazima simi yako iwe rooted kisha tumia root Uninstaller Pro zinauwezo wa kuhamisha downloaded app. Kwa uelewa wangu mdogo.
  15. achengula

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Hiyo kazi yake ni ku boost, unaweza kuiondoa tu.
Back
Top Bottom