Recent content by AbuuCasa

  1. AbuuCasa

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali, kozi ipi bora kati ya General Agriculture, Animal Science na Crop science?

    Bro, habari yako!. Kila kozi ina ugumu wake na wepesi wake, ni utayari wako tu kuwa umejipangaje na masomo ya huku. Binafsi niko Sua kwahyo najua uzito na wepesi wa kozi zote hizo. Jiamini na jua tu shule bado inaendelea!
  2. AbuuCasa

    JamiiForums Tanzania Shahada 4 vs. Akili ya kuzaliwa

    Hakika ni fundisho kubwa kabisa ilo.
  3. AbuuCasa

    JamiiForums Tanzania Ubora wa vyuo vikuu vya binafsi Tanzania

    Na ndo mana zikaitwa za serikali...
  4. AbuuCasa

    JamiiForums Tanzania Kijana wa chuo usipoelewa basi tena

    Ubarikiwe mkuu!.
  5. AbuuCasa

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata GPA kubwa uwapo chuoni

    Well stated
  6. AbuuCasa

    JamiiForums Tanzania First year kuripoti chuo kikuu na tranka ni ushamba au hofu ya kuibiwa?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] umetisha mkuu
  7. AbuuCasa

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Chuo Kikuu cha Dar es salaam ni mshahara wa dhambi

    Kule shule tu mkuu!.[emoji1621]
  8. AbuuCasa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni pdf reader yenye option ya kusearch majina kwa urahisi

    Download Adobe acrobatic hakika hutajuta Unasearch bila shida .
  9. AbuuCasa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Swades
  10. AbuuCasa

    JamiiForums Tanzania Kusomea udaktari wa mifugo inalipa sana?

    ANIMAL SCIENCE NA UPANA WAKE KWA KUJIAJILI ZAIDI NA SIO KUAJILIWA!. Habarini ndugu zangu!; Kama mada ilivyojitambulisha Naomba tu kwa anaefahamu kuhusu kozi hii , hasa kwa kujiajili zaidi na upana wake!...ipoje! KARIBUNI!
  11. AbuuCasa

    JamiiForums Tanzania Kama unasoma masomo au unategemea kusoma masomo ya ualimu wa arts jiandaee.

    Asee ii ndo hali halisi kwa sasa!.
  12. AbuuCasa

    JamiiForums Tanzania TCU yafungua dirisha la udahili awamu ya nne

    Humuelewi alitoa swala la chuo au hukunielewa mimi!??
  13. AbuuCasa

    JamiiForums Tanzania TCU yafungua dirisha la udahili awamu ya nne

    Hujaspecify!...Kwa chuo kipi!? Sua , udom au !?
  14. AbuuCasa

    JamiiForums Tanzania TCU yafungua dirisha la udahili awamu ya nne

    Ok, fanya ivo ontime!
  15. AbuuCasa

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kukodi shamba zipoje?

    Natanguliza salamu pia... Mashamba yapo kama hutojali yakununua na yakukodi na hayana migogoro yeyote ile!...sema tu yapo eneo tofauti na ulitakalo! Tunaweza kuwasiliana kama hutojali!...
Back
Top Bottom