Msaada tafadhali, kozi ipi bora kati ya General Agriculture, Animal Science na Crop science?

Man kante

Member
Apr 26, 2021
16
7
Habari wakuu,

Ninaomba kupewa muongozo au msaada kua kati ya kozi hizo tatu za kilimo ipi ina tija na ni nzuri haina usumbufu mwingi mbeleni kwa pale SUA.

Pia, soko lake zuri iwe kwenye kujiajiri au kuajiriwa

Nahitaji kuchukua moja wapo hapo nikipewa faida na hasara itanisaidia kutambua wapi nikae.
 
Bro, habari yako!.
Kila kozi ina ugumu wake na wepesi wake, ni utayari wako tu kuwa umejipangaje na masomo ya huku.
Binafsi niko Sua kwahyo najua uzito na wepesi wa kozi zote hizo. Jiamini na jua tu shule bado inaendelea!
 
Kuhusu soko la ajira likoje kwa hizo kozi?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujawahi kugundua kuwa SUA Haina impact katika uchumi wa Tanzania Hadi leo?
Sua inatoa products nzuri..one of the best un kwa kuzalisha wataalamu nchini..naelewa inamchango mkubwa sana katika nchi hii..shida vijana wengi wanamawazo potofu ya ajira serikalini..serikali haiwezi ajiri graduates wote.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1984 Hadi Leo hawajaweza kugundua hata mbegu ya alizeti ya kumsaidià mkulima. Matokeo yake inaibuka na teknologia iliyopita na wakati ya panya
 
SUA😳

panya-pc-data.jpg
 
Bro, habari yako!.
Kila kozi ina ugumu wake na wepesi wake, ni utayari wako tu kuwa umejipangaje na masomo ya huku.
Binafsi niko Sua kwahyo najua uzito na wepesi wa kozi zote hizo. Jiamini na jua tu shule bado inaendelea!
We unaangalia ugumu wa kozi au application ya kozi baada ya kuisoma
 
Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1984 Hadi Leo hawajaweza kugundua hata mbegu ya alizeti ya kumsaidià mkulima. Matokeo yake inaibuka na teknologia iliyopita na wakati ya panya
Ha ha ha kweli kabisa, landmines detection inafanywa na drones equipped with specialized Laser. Teknoligia ya kutumia panya ni vichekesho. ccm oyee.
 
Bro, habari yako!.
Kila kozi ina ugumu wake na wepesi wake, ni utayari wako tu kuwa umejipangaje na masomo ya huku.
Binafsi niko Sua kwahyo najua uzito na wepesi wa kozi zote hizo. Jiamini na jua tu shule bado inaendelea!
Nashukuru mkuu nakuja huko soon
 
Back
Top Bottom