Kinachoendelea Chuo Kikuu cha Dar es salaam ni mshahara wa dhambi

Boby wine

Member
Aug 16, 2019
5
9
Miezi kadhaa iliyopita, UDSM walifanya uchaguzi wa serikali ya wanafunzi DARUSO. Kama vile COHU, katika uchaguzi ule kulijawa na kila namna ya hila na unyama ambao ulifanywa na wajumbe kadhaa wa tume wakiongozwa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Hashim Kaduguda pamoja na msaidizi wake Pawa Izack.

Kama mnakumbuka uchaguzi ule ulikuwa ni kati ya chaguzi ambazo zilikuwa na ukiukwaji mkubwa wa haki na demokrasia kwa kiasi kikubwa miongoni mwa wanafunzi kadhaa ambao walionekana ni kikwazo katika kukamilisha mkakati huo ovu kuwahi kutokea DARUSO.

Katika College kadhaa kama vile COHU, COET, Mwenyekiti wa tume kuu ya uchaguzi aliamua kuingilia uchaguzi wa College hizo kinyume na sheria na katiba ya DARUSO, kwani Mwenyekiti wa tume kuu ya uchaguzi hana haki ya kuingilia na kusimamia chaguzi ngazi ya College isipokuwa uchaguzi mkuu pekee.

Wachambuzi mbalimbali na wachunguzi wa siasa za DARUSO walieleza wazi namna ambavyo tume hiyo inaendeshwa na vyama vya siasa hususani CCM. Chanzo chetu cha habari kilieleza kwamba CCM kwa kushirikiana na UVCCM UDSM waliratibu mipango yote ya kinyama na ukatili katika uchaguzi ule uliopelekea wajumbe kadhaa wa tume hiyo ambao walienda kinyume na msimamo hafifu wa tume kukamatwa na kuwekwa rumande kwa takribani masaa nane bila sababu za msingi.

Bilevile UVCCM waliratibu mpango wa kulitumia jeshi la polisi chuo kikuu kutishia na kuwakamata wanafunzi na viongozi ambao walionekana wenye msimamo na kutokukubaliana na unyama huo.

Kwa mujibu wa vyanzo vyetu vya habari ni wazi kwamba UVCCM kupitia kwa viongozi wake tawi la Chuo Kikuu, waliwalaghai na kuwatumia kwa kiasi kikubwa wajumbe wa tume takribani saba wakiwaahidi mambo kadha wa kadha kama wakifanikisha zoezi zima la kusimika viongozi wa DARUSO ambao ni makada kindakindaki wa CCM, jambo ambalo tume ya uchaguzi ilifanikiwa kutimiza kwa kiu ya kusubiria ahadi kadhaa walizoahidiwa ikiwemo, safari ya kwenda Marekani, kupatiwa ajira nzuri baada ya masomo, achilia mbali kupatiwa vyeti vya appreciation n.k.

Mara baada ya kumaliza jukumu hilo la kusimika viongozi wa UVCCM katika serikali nzima ya DARUSO, mdau mmoja ambaye ni kati ya mjumbe wa tume aliyetumika na uvccm aliwajia juu viongozi wa UVCCM UDSM na kuwauliza juu ya ahadi ambazo walipatiwa na uongozi wa UVC kitaifa zimefikia wapi lakini viongozi wa UVC waliwajibu "kama ambavyo wewe uliahidiwa na sisi pia tuliahidiwa hivyo hivyo". Mwisho wa nukuu.

Mathalani kwa mujibu wa wajumbe kadhaa wa Tume ya uchaguzi wamekiri wazi kutumika vilivyo pasipokuwa na malipo kama walivyofikiri wakati wakifanya maamuzi ya kuwakandamiza wanafunzi wenzao.

Wajumbe kadhaa walikiambia chanzo chetu cha habari wameamua kusema ukweli kutokana na nafsi zao zinawauma kwa kuwafanyia vitendo vya kinyama wanafunzi wenzao wakitegemea malipo ya ajira na safari ya Marekani waliyoahidiwa na UVCCM.

Zaidi Mwenyekiti wa bodi ya Rufaa BARNABAS NEWTON alisema wameambulia vyeti tu vya appreciation, jambo ambalo kwao wanaona ni fedheha na madanganyo yasiyokuwa na maana.

Tulijaribu kuwatafuta wajumbe wengine wiki mbili zilizopita akiwemo aliyekuwa Mwenyekiti wa IDS na IKS walikiri wazi kutokukamilishiwa ahadi hizo jambo ambalo limewafanya kukata tamaa na maisha na kuona ni vyema kutenda hali kuliko kutenda unyama.

Imeandaliwa na Bobywine

Kwa taarifa zaidi juu ya makala zinazohusiana na DARUSO, usisite kutembelea ukurasa huu. Kaa mkao wa kula.
 
Maskini iii siasa vyuoni hatuwezi kushindana na nchi za wenzetu kwa mitindo hii ya maisha vyuoni maendeleo tutasikia tu kwa wenzetu yaani polisi ,uvccm na wachawi wengine mnainajisi Elimu ,duuuu ukitaka elimu saizi afadhali usome masomoya jioni kwa mitindo huu hamna kitu hapo

IMG_20191027_110943.jpg
 
Shida ya watoto wanaopokea boom, hivi ulichokiandika ndio kinachoendelea hapo chuoni au umeshindwa hata kufikiria kuwa hao waliokua wanatume wapo mtaani tayari???
Kwa uandishi huu kauli ya kutoka jalalani inaweza kuwa verified😀
 
Audio hauna mkuu,, maana hadithi ndefu sana tupia audio tusikilize
 
Hivi huko UDZM siku hizi mbona misamiati mipya tupuu. Hiyo post Nimeelewa DARUSO na COET. Hivi zile FASS yan Faculty of Arts and Social Sciences ziliishia wapi. Anyway mabadiliko ya kulenga Vyeo nahisi yalishafyekelea mbali hizo makitu. Otherwise Love sana Mlimani Hill to Udasa
 
Miezi kadhaa iliyopita, UDSM walifanya uchaguzi wa serikali ya wanafunzi DARUSO. Kama vile COHU, katika uchaguzi ule kulijawa na kila namna ya hila na unyama ambao ulifanywa na wajumbe kadhaa wa tume wakiongozwa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Hashim Kaduguda pamoja na msaidizi wake Pawa Izack.

Kama mnakumbuka uchaguzi ule ulikuwa ni kati ya chaguzi ambazo zilikuwa na ukiukwaji mkubwa wa haki na demokrasia kwa kiasi kikubwa miongoni mwa wanafunzi kadhaa ambao walionekana ni kikwazo katika kukamilisha mkakati huo ovu kuwahi kutokea DARUSO.

Katika College kadhaa kama vile COHU, COET, Mwenyekiti wa tume kuu ya uchaguzi aliamua kuingilia uchaguzi wa College hizo kinyume na sheria na katiba ya DARUSO, kwani Mwenyekiti wa tume kuu ya uchaguzi hana haki ya kuingilia na kusimamia chaguzi ngazi ya College isipokuwa uchaguzi mkuu pekee.

Wachambuzi mbalimbali na wachunguzi wa siasa za DARUSO walieleza wazi namna ambavyo tume hiyo inaendeshwa na vyama vya siasa hususani CCM. Chanzo chetu cha habari kilieleza kwamba CCM kwa kushirikiana na UVCCM UDSM waliratibu mipango yote ya kinyama na ukatili katika uchaguzi ule uliopelekea wajumbe kadhaa wa tume hiyo ambao walienda kinyume na msimamo hafifu wa tume kukamatwa na kuwekwa rumande kwa takribani masaa nane bila sababu za msingi.

Bilevile UVCCM waliratibu mpango wa kulitumia jeshi la polisi chuo kikuu kutishia na kuwakamata wanafunzi na viongozi ambao walionekana wenye msimamo na kutokukubaliana na unyama huo.

Kwa mujibu wa vyanzo vyetu vya habari ni wazi kwamba UVCCM kupitia kwa viongozi wake tawi la Chuo Kikuu, waliwalaghai na kuwatumia kwa kiasi kikubwa wajumbe wa tume takribani saba wakiwaahidi mambo kadha wa kadha kama wakifanikisha zoezi zima la kusimika viongozi wa DARUSO ambao ni makada kindakindaki wa CCM, jambo ambalo tume ya uchaguzi ilifanikiwa kutimiza kwa kiu ya kusubiria ahadi kadhaa walizoahidiwa ikiwemo, safari ya kwenda Marekani, kupatiwa ajira nzuri baada ya masomo, achilia mbali kupatiwa vyeti vya appreciation n.k.

Mara baada ya kumaliza jukumu hilo la kusimika viongozi wa UVCCM katika serikali nzima ya DARUSO, mdau mmoja ambaye ni kati ya mjumbe wa tume aliyetumika na uvccm aliwajia juu viongozi wa UVCCM UDSM na kuwauliza juu ya ahadi ambazo walipatiwa na uongozi wa UVC kitaifa zimefikia wapi lakini viongozi wa UVC waliwajibu "kama ambavyo wewe uliahidiwa na sisi pia tuliahidiwa hivyo hivyo". Mwisho wa nukuu.

Mathalani kwa mujibu wa wajumbe kadhaa wa Tume ya uchaguzi wamekiri wazi kutumika vilivyo pasipokuwa na malipo kama walivyofikiri wakati wakifanya maamuzi ya kuwakandamiza wanafunzi wenzao.

Wajumbe kadhaa walikiambia chanzo chetu cha habari wameamua kusema ukweli kutokana na nafsi zao zinawauma kwa kuwafanyia vitendo vya kinyama wanafunzi wenzao wakitegemea malipo ya ajira na safari ya Marekani waliyoahidiwa na UVCCM.

Zaidi Mwenyekiti wa bodi ya Rufaa BARNABAS NEWTON alisema wameambulia vyeti tu vya appreciation, jambo ambalo kwao wanaona ni fedheha na madanganyo yasiyokuwa na maana.

Tulijaribu kuwatafuta wajumbe wengine wiki mbili zilizopita akiwemo aliyekuwa Mwenyekiti wa IDS na IKS walikiri wazi kutokukamilishiwa ahadi hizo jambo ambalo limewafanya kukata tamaa na maisha na kuona ni vyema kutenda hali kuliko kutenda unyama.

Imeandaliwa na Bobywine

Kwa taarifa zaidi juu ya makala zinazohusiana na DARUSO, usisite kutembelea ukurasa huu. Kaa mkao wa kula.
Subiri umalize uanze kutafuta AJIRA ndio utajua huo UHARO never mattered
 
Back
Top Bottom