Hapana boss. Nadhani kwa wakati tulionao,kama sekta binafsi ikipewa mazingira sawa ya ushindani,itafanya vizuri kuliko sekta ya umma. Duniani kote,sekta binafsi ndio msingi wa taifa mahalia. Hapa kwetu tunalazimisha kuiua sekta binafsi tukidhani sekta ya umma itaweza kutoa huduma tarajiwa na iliyo bora kwa raia mahalia. Bila sekta binafsi,hakuna taifaUnavyozungumzia vyuo vya Umma utafikiri unazungumzia Havard University..
Unavyozungumzia vyuo vya Umma utafikiri unazungumzia Havard University..
Hebu kuwa serious mkuu! At least ona haya basiVyuo vikuu binafsi viko vzr zaidi kuliko vya umma. Vyuo vikuu vya umma vinapata ruzuku na support nyingi sana toka serikalini, lakini elimu na huduma katika vyuo vikuu hivyo ni mbaya mno na ovyo kabisa. Huwa najiuliza wasingekuwa wanapata support hiyo, hivyo vyuo vikuu vingekuwaje ?
MkuuVya kidwanz saana kuna kimoja kinaitwa st thomas kipo ruvuma kuna dogo langu mwaka wa pili unakata hajapata vyeti najiandaa kutafuta vifungu vya sheria niwaburuze mahakamani....
Na kimesajiliwa vizuur tu na nacte
Na ndo mana zikaitwa za serikali...Vyuo vikuu binafsi viko vzr zaidi kuliko vya umma. Vyuo vikuu vya umma vinapata ruzuku na support nyingi sana toka serikalini, lakini elimu na huduma katika vyuo vikuu hivyo ni mbaya mno na ovyo kabisa. Huwa najiuliza wasingekuwa wanapata support hiyo, hivyo vyuo vikuu vingekuwaje ?
Hii inatokea saana kutegemea na uzembe unaofanywa na chuo katika kusubmit matokeo nacte....Mkuu
Hebu Tuelezee Vema Hili, Maana Nami Nina Ndugu Yangu Alimaliza Diploma Chuo Cha Utumishi - Singida Mwaka Jana
Matokeo Yametoka, Mahafari Yamefanyika
Alipofuata Cheti Anaambiwa Hakuna Mpaka Aandike Barua Kuomba Cheti Kitengenezwe
Nimeshangaa Kabisa, Yaani Kapigwa Danadana Na Mkuu Wa Chuo, Mkuu Wa Kitengo
Shida
Nadhani ifike wakati taasisi ya elimu waachiwe watu wenye weledi waiongoze. Nje ya hapo tutaendelea kuwa na ma-vyuo mengi ya umma ambayo tija yake kwa taifa ni mfu. Taasisi binafsi inafanya vizuri sana nyakati zote kwa mujibu wa historia ktk nyanja ya sekta ya elimuHii inatokea saana kutegemea na uzembe unaofanywa na chuo katika kusubmit matokeo nacte....
Huwa hawafati ratiba.. Na nyaraka hazitimii....
Ni uzembe tu.