Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 6,828
- 8,686
Uje sua labda lakin round ya nne sidhan
SUA umejaribu?Ooh sawa sasa mbali na udsm na udom chuo kipi cha serikali chenye course inayonifaa mm niliyesoma cbg
Nimejarib sana napo nikakosa ila wapo ambao walikuwa na ufaulu kama wangu ila wao walijaza course zenye competition ndogo for first round wakapata kwa mfano aquaculture, na ile ya family consumer Hata tourism management walipata ila mm sikujua nikajaza zenye competition kubwa na awamu ya tatu zilikuwa zote zimejaaSUA umejaribu?
Kwa ushauri wangu ...kama hutojali jaribu tena kuomba round ya 04 kama itakuwepo na kwenye coz jaribu kuweka kozi zisizo na ushindani ili kusudi ukishapata nafasi katika kozi hizo ,itakubidi uwahi chuo mapema sana kwa ajili ya kuanza mchakato wa kubadili kozi ,Nimejarib sana napo nikakosa ila wapo ambao walikuwa na ufaulu kama wangu ila wao walijaza course zenye competition ndogo for first round wakapata kwa mfano aquaculture, na ile ya family consumer Hata tourism management walipata ila mm sikujua nikajaza zenye competition kubwa na awamu ya tatu zilikuwa zote zimejaa
Ooh nashukuru kwa ushauri wako nitaufanyia kaziNimejarib sana napo nikakosa ila wapo ambao walikuwa na ufaulu kama wangu ila wao walijaza course zenye competition ndogo for first round wakapata kwa mfano aquaculture, na ile ya family consumer Hata tourism management walipata ila mm sikujua nikajaza zenye competition kubwa na awamu ya tatu zilikuwa zote zimejaa
Ok, fanya ivo ontime!Ooh nashukuru kwa ushauri wako nitaufanyia kazi
Zenye competition kubwa kama zipNimejarib sana napo nikakosa ila wapo ambao walikuwa na ufaulu kama wangu ila wao walijaza course zenye competition ndogo for first round wakapata kwa mfano aquaculture, na ile ya family consumer Hata tourism management walipata ila mm sikujua nikajaza zenye competition kubwa na awamu ya tatu zilikuwa zote zimejaa
Hujaspecify!...Kwa chuo kipi!?Zenye competition kubwa kama zip
SimuelewHujaspecify!...Kwa chuo kipi!?
Sua , udom au !?
Humuelewi alitoa swala la chuo au hukunielewa mimi!??Simuelew
SuaHumuelewi alitoa swala la chuo au hukunielewa mimi!??
Nashukuru kwa ushaur wako
nilijua lazima kuna vyuo vitakua na upungufu wa wanafunziHabari za jion wadau samahn mm nimeomba chuo round ya kwanza mpaka ya tatu sijapata chuo nimesoma Cbg na ufaulu wangu two ya 12 je nauliza kuna uwezekano wa kufungua dirisha kwa awamu ya nne kwa mwaka huu mwenye uzoefu tafadhali
=====================================
Tume ya vyuo Vikuu Tanzania(TCU), imefungua dirisha la udahili kwa awamu ya nne utakaoanza Oktoba mosi hadi 4, mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Septemba 25, Katibu Mtendaji wa TCU, Profesa Charles Kihampa amesema lengo ni kutoa fursa kwa wananchi ambao hawakuweza kuahiliwa katika awamu tatu kupata nafasi hiyo.
Amesema tume imepokea maombi pia kutoka kwa vyuo ambavyo bado vina nafasi kuhitaji kuongezwa muda wa udahili.
“Tume imeongeza muda wa udahili kwa kufungua dirisha la udahili kwa awamu ya nne utakaoanza Oktoba mosi hadi 4,mwaka huu,” amesema profesa Kihampa.
Amevitaka vyuo vyote vya elimu ya juu kubainisha proramu zenye nafasi ili kuwawezesha waombaji kufanya maamuzi sahihi wakati wa kutuma maombi ya udahili.
Amewakumbusha waombaji wote kuwa masuala ya yanayohusiana na udahiliama kuthibitisha yawasilishwe moja kwa moja katika vyuo husika na si TCU.