Msaada: Ni pdf reader yenye option ya kusearch majina kwa urahisi

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,628
Habari za huku

Jamani eti pdf reader gani nzur kwa simu ambayo ina option ya kusearch majina kwa urahisi ya kwenye pdf format?

Yaani natumia wps hapa haina option ya kusearch mfano majina kwa urahis

Msaada pls
 
Bonyeza tools then ingia apo kwenye view utaona search in document
Inaleta hivi mkuu
Screenshot_20191024-203005.jpeg
 
Kwangu siioni
Mkuu fungua document yako kwanza kisha ndo uende kwenye option ya tools kwenye part ya view, inaonekana hapo.
IMG_20191024_213054.JPG
 

Attachments

  • IMG_20191024_213054.JPG
    IMG_20191024_213054.JPG
    40.3 KB · Views: 1
  • IMG_20191024_213054.JPG
    IMG_20191024_213054.JPG
    40.3 KB · Views: 1
Mkuu download Librera ni bonge moja la app inasupport hadi audio ktk kusoma vitabu
 
Back
Top Bottom